Salma Kikwete awasili Arusha Kuokoa Jahazi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salma Kikwete awasili Arusha Kuokoa Jahazi.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by PakaJimmy, Oct 28, 2010.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Katika hali inayoonysha maji kuwa ya shingo, Mama Salma Kikwete amewasili Arusha ASUBUHI HII kutokea Dar kwaajili ya kujaribu kuwahamasisha wakazi na wanawake wa Arusha wamchague Batilda...Habari zinasema kuwa ameingia kwa ndege ya serikali, na msafara wake mdogo ulipita mtaani tokea uwanja wa Ndege, ukiwa na wanaccm wachache wenye t-shirt na kofia MPYA!
   
 2. C

  Campana JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Du! Huyu sasa ni kiguu na njia. Jana alikuwa moro pia akakutana na wamama wa njano na kijani mida ya saa 5 asubuhi.
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahhahahahahaha,kazi wanayo mwaka huu.
  duh,na wakishinda nahisi watahamia marekani kula bata kwanza maana mchaka mchaka haukuwa mdogo mwaka huu
   
 4. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Hana lake huyu Mama tena kesha choka mbaya. Hivi hii ndoa ipo kweli kwani kuna uwezekano kwa miezi mitatu hawajakaa kujadili mambo ya kifamilia au ndo wamefanya nchi kama sehemu ya familia. Hiki ni kichekesho ni wakati wa kuwanyanganya nchi yetu akina Rizi1, salma na JK
   
 5. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  :rip:CCM AND SALMA KIKWETE.
   
 6. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Eti ana ndoto ya kuwa Ellen Jonson Sirleaf wa Tanzania.

  Full kufulia.
   
 7. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Duuu, naomba nisikutane nae barabarani maana siku yangu itaharibika yote !!!!!!!
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Anapaswa awemakini sana maana hapa arusha watu wanataka mabadiliko tu...
   
 9. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mkuu Gerad2008

  Ndoa ya nini, maslahi kwanza, halafu si unajua mambo ya Sh...ka kwa Shu...ka
   
 10. J

  Jafar JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  2 late
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sina uhakika na mambo mengi, lakini at least naweza kufahamu kwamba mama huyu hatakaa Arusha kama ambavyo huenda alipanga, maana mazingira yameshakataa!
   
 12. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Halafu nyie urais ni issue ya kifamilia inabidi mtukome kabisa...inaelekea nyie CHADEMA eh! Waego mama usisahau kupitia kwenye shuka langu kwenye ile kampaini ya mtu kwa mtu na kitanda kwa kitanda...nilikuona usipovaa kilemba unapendeza
   
 13. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Whaatt? ndio lengo lake hilo? Inawezekana kweli akawa na mawazo hayo?
   
 14. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ha ha ha!
  watajibeba hao sisiemu
   
 15. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,595
  Likes Received: 4,709
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe JK na familia yako mbona mna kiherehere saaana cha kubaki hapo ikulu mnataka muwafanyie nini Watanzania? Acheni upuuzi huo, hiyo ikulu hamkujengewa nyie, mpaka mnafikia hatua ya kuhatarisha amani ya nchi. Uliaminiwa kwa miaka mitano na kazi imekushinda sasa unatakia nini tena kubaki hapo?TUMEKUCHOKENI, ONDOKEEENI!!!!!!!
   
 16. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  uwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  embu mwambien aondoke ndiyo anazidi kutuchafua

  uwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 17. A

  August JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  huyu mama hajui kweli kusoma alama za nyakati, akina mama wa arusha sio waku wadanganya na sukari na chumvi au t-shirt, na kofia, pia ajue machali wengi wanahasira za tanzanite yao kuchotwa na mafisudi, ambao wanalindwa na jk wa uongo, hizi hadithi za kiukoo na utapeli sijui au peleke wapi, watu wameisha jua wana thaminika wakati wa uchaguzi tu ukiisha , ni matusi ya nguoni kutoka kwa mtu uliye mpa kura yako, iwe ilikuwa kidini au kihalali.
   
 18. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kamwe sitakubali Salma aonane na mke wangu.
   
Loading...