Elections 2010 Salma Kikwete awaambia wamama wa Arusha wawakanye vijana wao waipigie kura CCM

Mantissa

JF-Expert Member
Jul 24, 2010
876
166
Katika hali isiyo ya kawaida, nimemsikia mke wa kikwete akitoa agizo kwa wamama wa chama cha CCM wakawakanye watoto wao hasa wa kiume ( akidai wa kike hawana matatizo) waipigie kura CCM eti ndo wanaonekana kuwa wabishi. Akasema vijana wa miaka ya tisini wana matatizo kuliko yeye.

Naona kama huyu dada yangu anasumbuka bure.

DR Slaa for president

Nawasilisha
 
huyu mama ka prove failure kila idara, adela huyu arudi tu darasani akafundishe
 
huu ndio wasiwasi wao mkubwa maana hao ndio wahudhuriaji wa mikutano na ndio ambao watapiga kura za NO kwa chichieM.
hao wa miaka ya tisini ndio wenye age ya 18-25yrs amba most of them are ready to stand up for SLAA!!!
 
mama salma kabla ya kuwaambia watu wengine namna ya kulea watoto wao ungeanza kwanza na mwanao anayebwia UNGA.halafu ndio uende kuwashauri wengine namna ya kulea watoto wao.
 
Back
Top Bottom