Salma Kikwete ataka Sheria ya Stahiki za wake wa Viongozi Wakuu

Basi kwann is iwe kwa watumishi wote wa umma, mume mstaafu akifa basi mke ape we 40% ya pension ya mumewe

Good point. Kwanini iwe kwa tabaka la juu tu? wakati tabaka la chini ndio lina maisha magumu zaidi.

Wajifunze kupigania maslahi ya wengi. Ikiwezekana Wabunge wote waishi maisha,kupata mishahara ya walimu, polisi, machinga, mama ntilie kwa miezi mitatu kabla ya kwenda bungeni. Watajifunza uhalisia wa maisha.
 
Hajizungumzii yeye ila hao wajao
Sasa anaongelea watu watatu tu mke wa rais,mke wa makamu wa rais na mke wa waziri mkuu,yani kama hujui waziri mkuu,Rais na makamu wa rais hawa hata wakitoka madarakani bado wanalipwa sawa na aliyekuwepo madarakani kwa mfano Waziri mkuu analipwa milioni 19 basi hata akistaafu bado salary ipo pale pale wanafanya wao ni kuachia ofisi tu hata akihama chama au akifa bado familia yake itapokea salary yake na marupurupu yote.Halafu hawa wake wa marais wana vi project sijui foundation za kumwaga.
 
Kwanza mama Salma ndio Mwenyekiti wa umoja wa hao wake wa Maraisi wote wa africa anapilika na miradi yenye mpunga mrefu lakini hawatosheki aiseee.
 
Watu wamezeeka watoto wao wakubwa wana maisha yao yeye kila mwezi anpata milioni 12 mshahara bungeni kwa vipindi viwili vya bunge mfululizo Pension milioni mia mbili kila Miaka mitano nyumbani kula bure kulala bure ,gari bure kwa mafao ya mumewe
Bado anataka na mengine juu ya u first lady eee

Duniani kweli kuna wanawake wana tama

Mufti kampe mawaidha huyo Salma aongelee maskini
 
Kwanza mama Salma ndio Mwenyekiti wa umoja wa hao wake wa Maraisi wote wa africa anapilika na miradi yenye mpunga mrefu lakini hawatosheki aiseee.
Ujumbe kwa wale wasemao ohh wanawake wa kichaga wanapenda pesa hawatosheki Salma mbona kawazidi wanawake wa kichaga wakati sio mchaga..Waombeni samahani
 
Sasa anaongelea watu watatu tu mke wa rais,mke wa makamu wa rais na mke wa waziri mkuu,yani kama hujui waziri mkuu,Rais na makamu wa rais hawa hata wakitoka madarakani bado wanalipwa sawa na aliyekuwepo madarakani kwa mfano Waziri mkuu analipwa milioni 19 basi hata akistaafu bado salary ipo pale pale wanafanya wao ni kuachia ofisi tu hata akihama chama au akifa bado familia yake itapokea salary yake na marupurupu yote.Halafu hawa wake wa marais wana vi project sijui foundation za kumwaga.
Swala ni haki yake kulipwa si ni jasho lake kwani shida iko wapi ?
 
Swala ni haki yake kulipwa si ni jasho lake kwani shida iko wapi ?
Angalia status yake mwenyewe atleast angeonelea mishahara ya walimu au kupandishwa madaraja kama alivyo fanya mama Janeth angeeleweka kwakuwa wote ni waalimu by Professional mpaka mke wa Pm naye ni Mwl.
 
Hayo mbona amesha yaongea
 
Hawa wote uliowataja ambao ni wajane toka mama Maria Nyerere na wajukuu zake na pia mama Fatma Karume wote wanatumzwa kwa kodi zetu kwa mujibu wa sheria.
Kama ni hivyo madai ya mama salama ni nini?
 
Swala hapo kulipwa stahiki zake kama mwalimu mstaafu pale ambapo alistaafishwa kazi mbona simple tu
Hata kama hoja ni hiyo hakuna ulazima wa kutungiwa sheria maana sheria zipo na zinafahamika mfanyakazi akiacha kazi ni mafao gani anapata.

Hapo ni swala la yeye tu kuwasiliana na mwajiri wake wa awali watajibizana huko kwa barua.

Sio maswala kujadili bungeni na kutungiwa sheria maana sheria tayari ipo.
 
Wao wanataka sheria zao sio hizo za Umma na nahisi wanataka ziitwe Sheria za wake wa Marais
 
Pengine ameachika hivyo hafaidiki na pension ya aliyekuwa mumewe!
Fedha Za bunge Salma hazimtoshi hata kama kaachika ? Kuachwa na mwanaume wa Pwani kawaida tu sio kesi.Aweza kukuoa leo wiki ijayo akakubwaga akaoa mwingine

Mbona Wako wabunge kibao wanawake bungeni ambao hawana wanaume wala hawara na hawatarajii kupata hata mmoja kwani hakuna mwanamume yeyote wa kuwashobokea wala kutarajia kuwashobokea mbona wako fit tu maisha yao yanaendelea vizuri tu
 
Back
Top Bottom