Salimu Mwalimu awaumbua CCM Iringa

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
naibu katibu mkuu zanzibar salimu mwalimu leo amewaumbua watia nia wa ccm,akiwa.anawahutubia wana wa nchi wa iringa amewahasa watia nia wa ccm waache kuwaadaa wanchi kama watoto wadogo
salimu mwalimu alienda mbali zaidi na kusema kuwa watia nia wa ccm wamewahidi wananchi kuwa wataboresha elimu wakati watia nia hao hao ndio waliondoa kipengele kwenye rasimu ya warioba kilichotamka kila mtanzania ana haki ya kupata elimu bure kuanzia ngazi ya msingi mpaka chuo kikuu lkn wagombea wa ccm waliondoa hicho kipengele
nukuu salim mwalimu
 
kweli ukitembea na mwizi nawewe utakuwa mwizi ukitembea na mtu muongo .................
 
naibu katibu mkuu zanzibar salimu mwalimu leo amewaumbua watia nia wa ccm,akiwa.anawahutubia wana wa nchi wa iringa amewahasa watia nia wa ccm waache kuwaadaa wanchi kama watoto wadogo
salimu mwalimu alienda mbali zaidi na kusema kuwa watia nia wa ccm wamewahidi wananchi kuwa wataboresha elimu wakati watia nia hao hao ndio waliondoa kipengele kwenye rasimu ya warioba kilichotamka kila mtanzania ana haki ya kupata elimu bure kuanzia ngazi ya msingi mpaka chuo kikuu lkn wagombea wa ccm waliondoa hicho kipengele
nukuu salim mwalimu

Hivi huyu jamaa hawezi kujenga hoja yake inayo jitegemea bila kutoa references kwa CCM ,
SIASA za matukio ndio naona jamaa anakomaa nazo mara CCM wamesema hivi mara wamesema vile
 
mchungaji /askofu makini lazima amponde shetani sio kumsifia.

shetani lazima akemewe
 
Hivi huyu jamaa hawezi kujenga hoja yake inayo jitegemea bila kutoa references kwa CCM ,
SIASA za matukio ndio naona jamaa anakomaa nazo mara CCM wamesema hivi mara wamesema vile

rudisheni maoni ya wananchi kwenye rasm
 
Sure kaka coz kajenga hoja kupitia kile mnachokisema.....wakati kwenye katiba mumekiondoa
 
ccm wanatumia pesa kuhadaa watu...
hiki chama kimefilisika kisera, utendaji nk.

wakae pembeni.
 
Hivi huyu jamaa hawezi kujenga hoja yake inayo jitegemea bila kutoa references kwa CCM ,
SIASA za matukio ndio naona jamaa anakomaa nazo mara CCM wamesema hivi mara wamesema vile

Wewe naona ni msukule, hujielewi kabisa kwani kakosea wapi? Hiyo ilikuwa kwenye rasimu ya Warioba Sitfa na kikosi chake wakaifuta, leo wanakuja kusema watainua elimu,kutoka katiba gani?? Jaribuni kufikiri kabla ya kuandika.
 
hivi hata kama ww ni mwana ccm na unatetea rasmu ambayo haina maridhiano ya kitaifa unaona raha gani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom