lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
naibu katibu mkuu zanzibar salimu mwalimu leo amewaumbua watia nia wa ccm,akiwa.anawahutubia wana wa nchi wa iringa amewahasa watia nia wa ccm waache kuwaadaa wanchi kama watoto wadogo
salimu mwalimu alienda mbali zaidi na kusema kuwa watia nia wa ccm wamewahidi wananchi kuwa wataboresha elimu wakati watia nia hao hao ndio waliondoa kipengele kwenye rasimu ya warioba kilichotamka kila mtanzania ana haki ya kupata elimu bure kuanzia ngazi ya msingi mpaka chuo kikuu lkn wagombea wa ccm waliondoa hicho kipengele
nukuu salim mwalimu