TANZIA Salim Zubery, Diwani kata ya Kileo Wilaya ya Mwanga afariki dunia

... Pole nyingi kwa wafiwa; RIP diwani. Ila itoshe tu kusema diwani afariki dunia maana wote walipitishwa kwa nguvu kwa maslahi ya CCM.
Kwa hiyo unafulahia kifo chake?
Hiyo pole unaitoa kwa lengo lipi?
Kifo chake kimetokana na siasa mpaka uzungumzie kuchaguliwa kwake?

Sioni maana ya ninyi kuomba maridhiano na umoja wa kitaifa.
Mnachokuomba suo mnacho kiishi.
Nawaona kama watoto wa nyoka tu, shrtani alishakaa mioyoni mwenu.
 
Habari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.

Habari za muda huu
Habari zilizotufikia toka Mwanga mkoani Kilimanjaro zinasema Diwani Salim Zubery wa kata ya Kileo Halmashauri ya Mwanga amefariki dunia muda mfupi uliopita.
Hahaha wanamalizana wao kwa wao
 
K

Wa hiyo unafulahia kifo chake?
Hiyo pole unaitoa kwa lengo lipi?
Kifo chake kimetokana na siasa mpaka uzungumzie kuchaguliwa kwake?

Sioni maana ya ninyi kuomba maridhiano na umoja wa kitaifa.
Mnachokuomba suo mnacho kiishi.
Nawaona kama watoto wa nyoka tu, shrtani alishakaa mioyoni mwenu.
sasa si mkazike kwani shida nini?
 
Back
Top Bottom