Salim Said Bakhresa ametajwa na Jarida la Forbes miongoni mwa matajiri kumi barani Afrika.

Acha mtima nyongo we mbwiga!mungu kashampa bakhresa hataukimchamfua eti mdini! Huyo mengi unae msifu hamfikii bakhresa.!
 
Na Mohammed Mhina, wa Jeshi la Polisi Zanzibar

attachment.php


Kampuni ya Azam Marine inayomiliki boti ziendazo kasi hapa nchini, leo imeingiza meli mpya na ya kisasa itakayochukua zaiidi ya abiria 1500 na magari 200. Meneja Mkuu wa Kamuni ya Azam Marine, Bw. Hussein Mohammed Saidi, amesema leo mjini Zanzibar kuwa meli hiyo ambayo itafanya safari zake kati ya Dar es Salaam, zanzibar na Pemba itatoza nauli nafuu kwa abiria wake.

Amesema meli hiyo ambayo inatarajiwa kuanza safari zake mara baada ya kukamilisha taratizo za mamlaka mbalimbali. Meli hiyo inayoitwa AZAM SEALINKI ni ya kisasa katika ukanda huu wa Mwambao wa nchi za Kusini na Pembe ya Afrika.

Bw. Hussein amesema Meli hiyo ambayo imetengenezwa nchini Ugiriki na inatayarishiwa eneo maalumu litakalotumika kwa kupakia na kushusha abiria na mizigo yakiwemo magari. Amesema meli hiyo itasafiri kwa muda wa saa tatu kutoka Dar es salaam na Zanzibar na saa 4 kutoka Zanzibar na Pemba ama saa 7 kutoka dar es salaam na Pemba.

Amesema pamoja na kuwasili kwa Meli hiyo, Kampuni ya Azam pia inatarajia kuleta meli nyingine ya abiiria inayojulikana kama Kilimanjaro namba 4.

Kwa upande wao, baadhi ya wananchi wa Visiwa vya zanzibar wamepongeza ujio wa meli hiyo lakini wakaitaka serikali kuendelea kudhibiti uingizwaji wa meli chakavu na kukuu ili kuepuka uwezekano wa kutokea ajali za mara kwa mara.

Bwana Rajabu Khamisi mkazi wa Pemba na Bi. Rehema Omari wa mjini Zanzibar, wamesema kuna haja ya Serikali kusimamia ukomo wa nauli ili kila mwananchi aweze kusafiri kutoka sehemu moja na nyingine kwani wamesema vipato havilingani.
 
kwa meli hiyo baba mwache tu aingie huko na mengi nae aweke meli tuone..
 
Jamaa yuko loaded

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Safi sana. At least tuwe na mwakilishi wetu. Ila akirudi atuambie kwa nini hayupo kwenye Top Ten ya Tz tax payers kama ameweza kushika chat za Africa..

Wabongo bwana kila kitu "mwakilishi wetu" hata wale wanaoenda big brother huwa tunawaita "wawakilishi wetu"
 
Kaka umeonge kwenye pesa na mafanikio kuna uwakilishi kwa mangumbaru akuna ayo ya bakresa kumsifia au kutomsifia haina mana kwan mafanikio yake binafsi jiongeze neno langu co sheria..! nilikua naPita angaikia maisha yako
 
Kaka umeonge kwenye pesa na mafanikio kuna uwakilishi kwa mangumbaru akuna ayo ya bakresa kumsifia au kutomsifia haina mana kwan mafanikio yake binafsi jiongeze neno langu co sheria..! nilikua naPita angaikia maisha yako KTK MAENDELEO YAMTU BINAFSI HAKUNA CHAUWAKILISH uko nikujipa ma2main ya kibwege
 
Back
Top Bottom