na yeye? Soma historia yake,
baba yake aliiuliwa wakati wa mapinduzi znz na kabla karume alikua akila kwake hivyo karume kusikia bakharessa kauliwa nae..akaja juu kasema jamani mnaua tu kila mtu wengine hawa ndo walo tuweka hapa mjini...akamsaidia bakharessa huyu wa sasa kuja dar na kuanza na biashara ya kutendeneza viatu.yaani fundi viatu, na nyerere huyu hakumgusa kwa sababu ya karume
Utajiri wa Mtanzania watikisa mabilionea Afrika
10 African Millionaires To Watch - Forbes
MFANYABIASHARA maarufu Tanzania, Salim Said Bakhresa ametajwa na Jarida la Forbes kuwa ni miongoni mwa matajiri kumi wenye utajiri mkubwa barani Afrika. Jarida hilo la kimataifa limetoa orodha ya mabilionea 40 kutoka Bara la Afrika mwaka huu na kuwataja wafanyabiashara 10, wanaoweza kuingia katika orodha hiyo ya mabilionea wakati wowote, akiwamo Bakhresa.
kawapa ajira kina nani? hebu kaangalie katika Sea Bus, kuna mgogo, njoo Dodoma kuna Mgogo katika Ice-Cream zake na keki?
Company is managed by his sons.
Source: Forbes Magazine
km Kampuni zake wanaongoza watoto hapo mm nitapataje ajira? Nikienda Zanzibar kweli mm mgogo tena mkisto nitapewa kazi na hao watoto wake.
Kumlinganisha na Mengi aliyemuajiri Farouk Karim ITV Zanzibar, ni tofauti
Watoto wake ni wakurugenzi!wewe ajira unaijua ukurugenzi tu?vijana kibao nawafahamu wapo pale old nmc kiwandan kwenye kiwanda chake cha pp bags ni wabara wameajiriwa,watanzania tumeanza kuwa watu wa ajabu kwa ukabila,udin na ukanda,mnyonge mnyongen ongelea issue nyingine lakin sio ya kuajir wabara hapo umechemka
Ukuli nayo kazi? nimekwambia fananisha Ukurugenzi na ukuli au kupata kazi huko Zanzibar, hapa kwetu waendesha baiskeli kibao na sio waajiriwa mpaka Ice-Cream zije fuatilia story yake kutoka kwa Karume, Ubaguzi kwa mwarabu haujifichi kwenye ajira hasa ukurugenzi na misaada
10 African Millionaires To Watch
Said Salim Bakhresa
Nationality: Tanzanian
Source: Bakhresa Group
The extremely reclusive Tanzanian tycoon famously dropped out of school at the age of 14 to sell potato mix, then opened a small restaurant and then finally delved into grain milling. Today, his Bakhresa group employs over 2,000 people and is Tanzanias largest conglomerate. The companys interests include grain milling, confectionaries, frozen foods, beverages and packaging. The groups Azam brand is the most popular manufacturer of chocolates and ice cream in the region. The $800 million (sales) group is also the largest producer of wheat flour in East Africa. Daily capacity: 2,100 metric tons. Company is managed by his sons.
Source: Forbes Magazine
anajua cheza michezo ndio maana hayupo kwenye tax payers wakubwa
Watoto wake ni wakurugenzi!wewe ajira unaijua ukurugenzi tu?vijana kibao nawafahamu wapo pale old nmc kiwandan kwenye kiwanda chake cha pp bags ni wabara wameajiriwa,watanzania tumeanza kuwa watu wa ajabu kwa ukabila,udin na ukanda,mnyonge mnyongen ongelea issue nyingine lakin sio ya kuajir wabara hapo umechemka