Salim Kikeke, Zuhura Yunus nendeni Azam TV

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,298
12,600
London is better but home is the best. Njooni mjiunge na kituo cha TV cha Azam ili kutoa changamoto kwenye tasnia ya habari kitaifa na kimataifa. BBC, VOA, CCTV, DW ni vyombo vya habari vilivyoanzoshwa kama vyombo vya propaganda za kisiasa za mataifa yao. Leteni ujuzi na uzoefu wenu nyumbani muuchanganye na wa akina Tido, Hillary, Kaira. Ingawa hela huku sio nyingi kama huko lakini hakuna ubaguzi kama huko.
 
London is better but home is the best. Njooni mjiunge na kituo cha TV cha Azam ili kutoa changamoto kwenye tasnia ya habari kitaifa na kimataifa. BBC, VOA, CCTV, DW ni vyombo vya habari vilivyoanzoshwa kama vyombo vy a propaganda za kisiasa.

Ni kweli lakini sisi na wao tujifunze kwa Tido Mhando kwanza, na wengine waliorejea nyumbani toka ughaibuni...
 
Azam sasa hivi inaendelea kuifunika Dstv kutokana na uwepo na ubunifu wa akina Tido, Hillary. Tido aliifanyia TBC mageuzi makubwa sana kabla hayajamkuta.
 
London is better but home is the best. Njooni mjiunge na kituo cha TV cha Azam ili kutoa changamoto kwenye tasnia ya habari kitaifa na kimataifa. BBC, VOA, CCTV, DW ni vyombo vya habari vilivyoanzoshwa kama vyombo vya propaganda za kisiasa za mataifa yao. Leteni ujuzi na uzoefu wenu nyumbani muuchanganye na wa akina Tido, Hillary, Kaira. Ingawa hela huku sio nyingi kama huko lakini hakuna ubaguzi kama huko.

Kwa hiyo unawapangia mahali pa kuishi na kufanya kazi sio? Kwako ww kufanya kazi Buguruni ni bora kuliko kufanya kazi LONDON sio?
 
London nini bhanaa! siku hizi wazungu wanakunwa na kauli za Trump kuhusu Waafrika na wahamiaji. Sababu kubwa kuliko zote zilizosababisha Uingereza ijitoe EU ni hiyo hiyo ya wahamiaji wanaokwenda kuchukua kazi zao.

Zamani watumwa walikuwa wanasafirishwa kwenda Ulaya kwa majahazi kwa lazima, siku hizi watumwa wanaenda Ulaya wenyewe kwa hiari yao kwa ndege na mitumbwi kwa nauli zao.

Ili watuheshimu tupende kwetu na vyetu.
 
Nani kamrithi Tido? TBC ina backslide kila kukicha- mouthpiece ya chama tawala.
Mh. Dr. Ayubu Lyoba, aliyekuwa mhadhri was wa taaluma ya habari chuo kikuu. Taaluma anayo lakini exposure ni kidogo.
 
London is better but home is the best. Njooni mjiunge na kituo cha TV cha Azam ili kutoa changamoto kwenye tasnia ya habari kitaifa na kimataifa. BBC, VOA, CCTV, DW ni vyombo vya habari vilivyoanzoshwa kama vyombo vya propaganda za kisiasa za mataifa yao. Leteni ujuzi na uzoefu wenu nyumbani muuchanganye na wa akina Tido, Hillary, Kaira. Ingawa hela huku sio nyingi kama huko lakini hakuna ubaguzi kama huko.
Yani waache nzuri wafate mbaya?
 
Azam sasa hivi inaendelea kuifunika Dstv kutokana na uwepo na ubunifu wa akina Tido, Hillary. Tido aliifanyia TBC mageuzi makubwa sana kabla hayajamkuta.
Koote nimekuelewa mkuu ila hapo uliposema Kabla Ayaja mkuta , ndio nini ?
 
London is better but home is the best. Njooni mjiunge na kituo cha TV cha Azam ili kutoa changamoto kwenye tasnia ya habari kitaifa na kimataifa. BBC, VOA, CCTV, DW ni vyombo vya habari vilivyoanzoshwa kama vyombo vya propaganda za kisiasa za mataifa yao. Leteni ujuzi na uzoefu wenu nyumbani muuchanganye na wa akina Tido, Hillary, Kaira. Ingawa hela huku sio nyingi kama huko lakini hakuna ubaguzi kama huko.
Azamu ni burudani tu very cheap azamu habari hadi usiku lini mtabadilika nyie vihiyo
 
Back
Top Bottom