Salim Kikeke wa BBC huwa anakuja likizo Tanzania au ameacha?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Huyu Bwana Salim Kikeke mtangazaji wa Radio ya BBC alipenda sana kuwa anakuja Tanzania akiwa OFF

Mara nyingi tumekuwa tukikutana pale Qatar uwanja wa ndege upande wa Transit wote tukiwa tunatokea inchi zingine ili kuja Tanzania,

Siku hizi matangazo yake ya BBC ndio yananifanya niulize maana nahisi amekuwa muoga kuja huku akiwa off,

Kama kuna waliomuona hivi karibuni mnambie kama anakuja

Wengi kwa matangazo kama ya kwake yanayohusu Tanzania lazima waogope kuja, maana matangazo kama ya kwake TV za ndani hapa hakuna yenye ubavu wa kutangaza.
 
Huyu Bwana Salim Kikeke mtangazaji wa Radio ya BBC alipenda sana kuwa anakuja Tanzania akiwa OFF, mara nyingi tumekuwa tukikutana pale Qatar uwanja wa ndege upande wa Transit wote tukiwa tunatokea inchi zingine ili kuja Tanzania, siku hizi matangazo yake ya BBC ndio yananifanya niulize maana nahisi amekuwa muoga kuja huku akiwa off, walio muona hivi karibuni miezi ya karibuni mnambie kama anakuja, wengi kwa matangazo kama yakwake yanayohusu Tanzania lazima waogope kuja, maana matangazo kama yakwake TV za ndani hapa hakuna yenye ubavu wa kutangaza.

We bebi wa Madame B 🤣🤣🤣🤣
 
Unajisikiaje hata watoto wako nyumbani ukirudi wote wanaingia chumbani kulala. Ukitoka tu sebuleni wanarudi kuangalia TV
 
Kiukweli anaisakama sana Tanzania na uongozi wa Rais Magufuli, ila sijui kwanini unadhani asije kwao Tanzania.
 
Back
Top Bottom