Elections 2010 Salim A. Salim Apangishwa foleni!!

Boflo

Boflo

JF-Expert Member
4,390
1,225
Hivi jamani kwa nini Watz tunakosa ustaarabu, mzee wetu huyu pamoja na
kulitumikia taifa letu karibu maisha yake yote, anaachwa na kunyanyasika
kwa kusimama katika foleni???.... hii imekaaje?
 
Kiranga

Kiranga

JF-Expert Member
51,408
2,000
Tanzania haina raia wa daraja la kwanza na wengine wa daraja la pili, Nyerere mwenyewe alipanga mstari kupiga kura.
 
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
3,070
1,195
Hata Julius Nyerere mwenyewe, Tanzaniata wa Tanzania naye alipanga foleni kupiga Kura.
Kila mtu apige kura kutokana na saa alofika kituoni, kwa nini awakate wengine?
 
tzjamani

tzjamani

JF-Expert Member
996
0
Mbona Nyerere alikaa kwenye foleni? Tunawaendekeza sana mpaka mwishowe wakisahahu tunalalamika. Hata wazee wetu vijijini wanatumikia taifa tena kwa shida.
 
Maria Roza

Maria Roza

JF-Expert Member
6,846
1,500
Vijana tuligoma kuwapisha wazee maana hawataki mabadiliko:A S angry::A S angry::A S angry:
 
H

Hofstede

JF-Expert Member
3,580
0
Jamaa anajipanga kuokoa jahazi la CCM 2015, hivyo ni lazima aige mfano wa JKN. CCM wamejifunza uchaguzi huu kuwa their days are numbered na 2015 wakiendekeza mambo ya umtandao wamekwisha. Ninajua kuwa mwaka huu watapeta kwa 52.3% kwenye urais drop of 28.7% na kwa trend hii 2015 watapata 26% wasipokuwa makini.
 
Boflo

Boflo

JF-Expert Member
4,390
1,225
Hata Julius Nyerere mwenyewe, Tanzaniata wa Tanzania naye alipanga foleni kupiga Kura.
Kila mtu apige kura kutokana na saa alofika kituoni, kwa nini awakate wengine?
mbona huyu mama hakupanga foleni???
 
R.Lewis

R.Lewis

Member
14
0
PHP:
[PHP]
[/PHP]
Hivi jamani kwa nini Watz tunakosa ustaarabu, mzee wetu huyu pamoja na
kulitumikia taifa letu karibu maisha yake yote, anaachwa na kunyanyasika
kwa kusimama katika foleni???.... hii imekaaje?
View attachment 16056
Yaani huu ni upupu unaoniudhi kuhusu Fikira za baathi ya wazembe fulani Bongo kwani kupanga mstari ni physical issue au ni wadhifa wa mtu alinao au aliwahi kua nao, na amini kuna Wazee kibao ambao physically wanahali mbaya zaidi ya huyu ex waziri na wamejipanga mstari, huu ni utaratibu tu sio adhabu, achana na tabia za ushamba za kujikomba kila kitu
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
16,619
1,500
Jamaa anajipanga kuokoa jahazi la CCM 2015, hivyo ni lazima aige mfano wa JKN. CCM wamejifunza uchaguzi huu kuwa their days are numbered na 2015 wakiendekeza mambo ya umtandao wamekwisha. Ninajua kuwa mwaka huu watapeta kwa 52.3% kwenye urais drop of 28.7% na kwa trend hii 2015 watapata 26% wasipokuwa makini.
Mkuu,

Hawa pensioners wa CCM they already proved to be incompetent and not fit for the future challenges of this decade, wameshindwa hata kupaza sauti zao kukemea uozo na madudu huko chumbani (CCM) walimo. Si Salim, Warioba au yeyote..they are all ineffective.
 
Mtoto wa Kishua

Mtoto wa Kishua

JF-Expert Member
835
225
Foleni ya Nyerere ilikua ya kizushi, mbele na nyuma yake walikua ni wana usalama wa taidfa tupu bila hata yeye mwenyewe kujua , alitaka sana awe ana jichanganya na wananchi (Yale yale ya Mwinyi mbaka kunaswa Kibao ,sababu ya ubishi ) walicho kifanya ni kumdanganya walio mzunguka ni wananchi wa kawaida lakini wote walikua ni Usalama wa taifa.
 
Madela Wa- Madilu

Madela Wa- Madilu

JF-Expert Member
3,070
1,195
Mke wa Mtuhumiwa wa Ufisadi. Ulitegemea nini?

Lakini naona nyuma yake kuna mtu mwingine ni msimamizi au ni mlinzi?

Alipanga Foleni ndefu kweli kweli hapo alipo yupo ndani ya chumba cha kupigia kura.

Apange foleni na uzuri wote huo?

Ni mke wa Rais asiye kaa Ikulu kusubiri mumewe kama walivyofanya wake wengine wa marais.

Uongo sijui kama alipanga foleni au la Wewe unasemaje?
 
Boflo

Boflo

JF-Expert Member
4,390
1,225
Foleni ya Nyerere ilikua ya kizushi, mbele na nyuma yake walikua ni wana usalama wa taidfa tupu bila hata yeye mwenyewe kujua , alitaka sana awe ana jichanganya na wananchi (Yale yale ya Mwinyi mbaka kunaswa Kibao ,sababu ya ubishi ) walicho kifanya ni kumdanganya walio mzunguka ni wananchi wa kawaida lakini wote walikua ni Usalama wa taifa.
afadhali umesema kweli na ku support point point yangu....maana minjemba ya jf ilikuwa ikinirushia madongo
 
M

Msharika

JF-Expert Member
939
195
Boflo! Acha utani, Mkulu unataka apange foleni azimie kwenye foleni kwa uchovu wa kusimama?
 
Anyisile Obheli

Anyisile Obheli

JF-Expert Member
3,395
1,250
Hivi jamani kwa nini Watz tunakosa ustaarabu, mzee wetu huyu pamoja na
kulitumikia taifa letu karibu maisha yake yote, anaachwa na kunyanyasika
kwa kusimama katika foleni???.... hii imekaaje?
View attachment 16056
boflo unaonekana unapenda sana kuabudu watu siyo, smebuse yeye? Mwalimu nyerere pia alipanga foreni kupoiga
kula, kwa sisi tulijifunza binadamu wote ni sawa hatuoini shida, hapo sijui wewe
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom