Sales team kwa ajili ya mauzo ya EFD machines

potokaz

JF-Expert Member
Jul 19, 2011
530
486
Tunahitaji vijana wenye uwezo wa kuhamasisha matumizi ya mashine za kodi kwa wafanyabiashara, EFD pamoja na kuwaunagnisha na ofisi ili waweze kulipia, kufundishwa na kuanza kutumia mashine hizo kama walivyoelekezwa na Serikali kupitia TRA.

Strictly, only for serious applicants.

Tuma CV na mbaya simu kupitia email; etrsolutions@yahoo.com
 
deadline ni lini??......kiwango cha elimu kinachohitajika ni kipi?.....na kuna salary au ndo 10%
 
deadline ni lini??......kiwango cha elimu kinachohitajika ni kipi?.....na kuna salary au ndo 10%

AAbility to deliver ndio MUHIMU pamoja na marketing experience mengine ni nyongeze, form four and above.
 
Serious applicants wenye maswali waulize kupitia e mail tajwa hapo juu, subject ya e mail andika SWALI ili niweze kujua e mail zenye maswali na kuyajibu. Deadline ni 17th November 2014.

Lengo ni kujibu specifically kwa wanaohusika.
 
Back
Top Bottom