Sales man/Marketing personnel needed

Star onair

Senior Member
May 31, 2020
146
250
Nahitaji mtu nitakae saidiana nae kufanya biashara ya kuuza mazao na hasa zaidi ya mbogamboga na nafaka. Tafadhali ni Pm tu kama unajua unao uwezo wa kuuza hizi products.
Kama ni mkazi wa Morogoro itakuwa vizuri zaidi.
Elimu si kigezo kwa sasa nahitaji tu Mwenye uwezo mkubwa wa kuuza

N.b kwa sasa tutadeal na wafanyabiashara walio ndani ya nchi.
Ila kama Kazi utaipiga vizuri nitakukaribisha katika deal lingine la kufanya Kazi na jamaa zangu wa Kenya.
Zingatia uwe na uwezo wa kuuza gunia kuanzia 50 na kuendelea (sio napoteza muda wangu kwa mtu Mwenye uwezo mdogo wa ku sale)
255762415190_status_ea4e0c809a18418fb919f2cd8bbc8471.jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom