sales executive postal bank

ineb

Member
Jan 5, 2013
79
11
kwa wale waliofanya oral interview pale postal bank ya sales executive...kuna yeyote aliyeitwa kazini??
 
Kaka wameniambia kuwa nimepata kazi toka tarehe 27 mwezi jana na mkataba wao nkaufuata nianze kazi tarehe 2 December ila cjausign wala kuurudisha mana ni magumashi hatari
 
magumash kivip,kwan wanalipa sh ngapi?
 
magumash kivip,kwan wanalipa sh ngapi?

400k including transportation n airtime halafu target kwa mwezi upate deposits za 20mil hyo kweli fair, mkataba ni temporary miezi mitatu bt stil wana haki ya kuterminate anytime
 
dah! Naanza kuamini coz hawa jamaa kwenye interview walinipiga swali la mshahara wakaniambia upo tayali kufanya kazi kwa malipo ya laki 4 plus laki 1 ya commision, dah! Kumbe walikuwa seriuz!
 
400k including transportation n airtime halafu target kwa mwezi upate deposits za 20mil hyo kweli fair, mkataba ni temporary miezi mitatu bt stil wana haki ya kuterminate anytime

huo ni mshahara au posho?
 
Kumbe bank njaa tu..asa mbona wafanyakazi wa bank wanajifanyaga bab kubwa hvo!
 
Habari zenu wanajamvi!Hawa jamaa baada ya kufanya interview yao,i mean oral interview wanakucheck km baada ya sk ngapi kupita?Naomba kujuzwa kwa wale mnaojua!
 
Ndugu waliita watu tarehe 27 Nov kama hujapigiwa pole
 
Hii ni ya juzi bro!Elewa swali kabla ya kujibu plz.Angalia swali tena ndo ujibu bro.

Duh ndo umenishushua mwnyw wakat mwnyw hujasema interview umefanya lini, swala ni hili ulikuwa uwaulize mwnyw majibu lini
 
vijana wa sasa hivi kweli mchele mchele mnataka muanze na kazi za mamilioni sasa utasubili sanaaaaaaa badala uingie kwenye system unaanza kulalamika mshahara hautoshi kweli?

hebu mjitambue wadogo zangu kazi ni ngumu sana kupata wengine hata kwa mshahara huo watakimbilia
duh mpaka mkataba wamekuba bado unakataaaa
hakuna benk imayokopesha vizuri wafanyakazi wake kama hii

hatari sanaaaa
 
Kaka wameniambia kuwa nimepata kazi toka tarehe 27 mwezi jana na mkataba wao nkaufuata nianze kazi tarehe 2 December ila cjausign wala kuurudisha mana ni magumashi hatari

vijana wa sasa hivi kweli mchele mchele mnataka muanze na kazi za mamilioni sasa utasubili sanaaaaaaa badala uingie kwenye system unaanza kulalamika mshahara hautoshi kweli?

hebu mjitambue wadogo zangu kazi ni ngumu sana kupata wengine hata kwa mshahara huo watakimbilia
duh mpaka mkataba wamekuba bado unakataaaa
hakuna benk imayokopesha vizuri wafanyakazi wake kama hii

hatari sanaaaa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom