Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa wale waliofanya oral interview pale postal bank ya sales executive...kuna yeyote aliyeitwa kazini??
Kaka wameniambia kuwa nimepata kazi toka tarehe 27 mwezi jana na mkataba wao nkaufuata nianze kazi tarehe 2 December ila cjausign wala kuurudisha mana ni magumashi hatari
magumash kivip,kwan wanalipa sh ngapi?
400k including transportation n airtime halafu target kwa mwezi upate deposits za 20mil hyo kweli fair, mkataba ni temporary miezi mitatu bt stil wana haki ya kuterminate anytime
400k including transportation n airtime halafu target kwa mwezi upate deposits za 20mil hyo kweli fair, mkataba ni temporary miezi mitatu bt stil wana haki ya kuterminate anytime
huo ni mshahara au posho?
Kumbe bank njaa tu..asa mbona wafanyakazi wa bank wanajifanyaga bab kubwa hvo!
Habari zenu wanajamvi!Hawa jamaa baada ya kufanya interview yao,i mean oral interview wanakucheck km baada ya sk ngapi kupita?Naomba kujuzwa kwa wale mnaojua!
Hii ni ya juzi bro!Elewa swali kabla ya kujibu plz.Angalia swali tena ndo ujibu bro.
Kaka wameniambia kuwa nimepata kazi toka tarehe 27 mwezi jana na mkataba wao nkaufuata nianze kazi tarehe 2 December ila cjausign wala kuurudisha mana ni magumashi hatari