Sales and marketing anahitajika

Kwisense

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
475
1,138
Nahitaji kijana mmoja aliyesomea sales and marketing;
- awe na uzoefu wa mwaka mmoja.
- elimu kuanzia diploma na kuendelea.
- jinsia ni yeyote ile.
- umri uwe chini ya miaka 36.
- awe tayari kufanya kazi mafundi wetu wa umeme na taaluma nyingine.

Ofisi zetu zipo Dar es Salaam.
Shughuli zetu kubwa ni uuzaji wa pump za sheli na spears zake.
Mwenye sifa hizo naomba unitumie cv yako kwenye email ym.mtiba@gmail.com.
Samahani kwa kutumia email hiyo maana ya kampuni ina shida kidogo.
Kampuni letu linaitwa PETROLEUM AND INDUSTRIAL SERVICES (T) LIMITED.
Mwisho wa kupokea maombi ni Jumapili saa mbili jioni.
Kwa wale waliosomea uhasibu sihitaji, naomba uzingatie fani inayotakiwa.
 
Uzoefu ataupata wapi kama ujampa kazi ebu tufike mahala tutazame kwa jicho jingine kuhusu uzoefu MPE mtu kazi ajenge uzoefu
 
Uzoefu ataupata wapi kama ujampa kazi ebu tufike mahala tutazame kwa jicho jingine kuhusu uzoefu MPE mtu kazi ajenge uzoefu
Ndg hilo ni tangazo tu, cha muhimu tunahitaji mtu atakayeweza kuishawishi panel kuwa anaweza kusimamia kitengo hicho na cv yake ivutie.
Ahsante kwa challenge
 
Cv Haina Deal Siku izi!Hivi Lini Mtaacha Kuulizia Cv!Wenye CV Nzuri Ndio Hao Ambao 1.5 trilioni Hawazioni
 
Mtu kama haja soma Sales and marketing lakini amefanya hizo kazi kwa muda mrefu mnaweza mzingatia? au lazima kama ulivyoandika mkuu
 
Back
Top Bottom