TANZIA Salehe Songolo, aliyetengeneza Meli za MV Mbeya na MV Songea afariki Dunia

Alikuwa mshkaji wake sana meko toka enzi ya meko alivyokuwa waziri wa ujenzi wamepiga nae mchuzi sana .

Songoro amejenga vivuko nadhani vyote vya TEMESA ambayo ipo chini ya wizara ya ujenzi. Anyway RIP to him alishawahi kunitoa mpunga dola 1000 kuna kazi yake nilimfanyia hakuwa na roho mbaya kwenye mchuzi
Nasikia alikuwa Mzungu sana,yaani mtu peace alifariki baada ya kuambiwa kazi zake hazina viwango .
 
Alikuwa mshkaji wake sana meko toka enzi ya meko alivyokuwa waziri wa ujenzi wamepiga nae mchuzi sana .

Songoro amejenga vivuko nadhani vyote vya TEMESA ambayo ipo chini ya wizara ya ujenzi. Anyway RIP to him alishawahi kunitoa mpunga dola 1000 kuna kazi yake nilimfanyia hakuwa na roho mbaya kwenye mchuzi
Huyo marehemu,alikuwa makini na budii kubwa sana ya kazi

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom