Sale sale sale of beds | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sale sale sale of beds

Discussion in 'Matangazo madogo' started by manyusi, Nov 17, 2009.

 1. m

  manyusi JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2009
  Messages: 274
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ndugu wana JF kulala mahali pazuri ni jambo jema kamata kitanda kwa bei ya punguzo vimebaki vitanda vitatu tu kwa bei ya 250,000 tu kwa kila kimoja.Wasiliana kwa akamanyusi@yahoo.co.uk au 0713876210
   

  Attached Files:

 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Ni size gani hivyo vitanda? na vipo mji gani na sehemu gani? na vimetengezwa kwa material gani
   
 3. bht

  bht JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  freetown huyu atakuwa bongo nadhani maana naona hiyo namba ni ya Tigo
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2009
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Ndio maana wabongo biashara zinatushinda unapotaka kuuza kitu toa na vipimo vyake ,materia yake na sehemu ya kupata hivyo vitu then ndo mambo ya simu na email.Eti nikitaka kujua mpaka nipige simu na kuandika email,kumbe ungeeleza kwa kikamilifu ni rahisi kila mtu kufuata,huo ni ushauri wa bwelele wabongo,au itabidi umuone Twisa mbeba bx maarufu akupe njia mbadala za marketing tuh tuh
   
 5. Brooklyn

  Brooklyn JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2009
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 1,453
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145

  You need to know how to do business!! What a worthless advert is that??

  Tafuta vikozi vya marketing na business administratin vikusaidie uwezi kuelewa basic technicalities katika biashara!!
   
 6. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Huyu bwana manyusi alikwisha vitangaza vitanda hivyo, akaweka bei na size, pia akasema vimetengenezwa kwa mianzi (bamboo), kwa hiyo nadhani anaasume kuwa watu wote walisoma matangazo na wanavikumbuka, vilevile huwa hapatikani mara nyingi humu ndani, nadhani ni kwa sababu ya aksesi ya net na inakuwa tabu kidogo kupata muda, ila ukimtafuta kwa simu unamkamata tu.
   
Loading...