Sorry guys nilifanya interview na NGO flani na nilifanikiwa kupitaa na waliniomba nisubmit baadhi ya documents na salary slip ...but pale ninapo fanyia kibarua walinitengenezea salary slip iliyo zua utata kwa Hawa waajir wapya je nifanye Nini ili nafasi yangu iwe salamaa??