Salary Slip Portal Login issue

ytara jr.

Member
Feb 6, 2014
61
22
Kwa muda sasa nimekuwa nikitumia SSP kupata taarifa za salary. Ila hapa katikati kama miaka mi2 nikawa sijaingia hivyo nimesahau password. Nikiingia forget password sipati email ya kureset. Namba za simu walizoweka hazipokelewi. Msaada kama kuna njia mbadala.
View attachment 1872496
 
Jitahid kupiga simu nishaongea nao kama mala mbili hivi tatizo lako litatatuliwa haraka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom