Salary Novemba imeshatoka nenda kachukue

Vipi kuhusu makato ya HESLB?
Ni asilimia 15 au bado ni ile ile asilimia 8?

Maana nyongeza ya mshahara hakuna, lakini makato yanaongezeka tu.
 
Kwanza mshukuru sikuhizi mnawahishiwa mshahara, je mnakunbuka zamani mlivyo kuwa mnachelwweshewa hadi tare 5 au hata 7. Kwa sasa ajira ngumu bora ushukuru uko kazini, kama hutaki acha wengine wachukue kazi hiyo.
 
jamani mbona ongezeko hola, maisha yatakuwa hovyo sana

Ongezeko la nini sasa mkuu? unapaswa kuishi kama shetani. Sasa hivi tunatafuta namna gani tupunguze hata hicho kingi unachopata sasa. We need more money for infrastructures' development na sisi ni matajiri sana, hatuhitaji misaada kutoka nje yenye masimango.
 
Kwanza mshukuru sikuhizi mnawahishiwa mshahara, je mnakunbuka zamani mlivyo kuwa mnachelwweshewa hadi tare 5 au hata 7. Kwa sasa ajira ngumu bora ushukuru uko kazini, kama hutaki acha wengine wachukue kazi hiyo.
mkuu nanyi wote tunawaombea mpate lkn hakuna maana mby ktk hili ni kuhabarishana tu
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom