Salary Novemba imeshatoka nenda kachukue


mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Likes
662
Points
280
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 662 280
jamani mbona ongezeko hola, maisha yatakuwa hovyo sana

mshahara umetoka mchana huu
 
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Likes
662
Points
280
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 662 280
sina raha
 
Mr Mav

Mr Mav

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2016
Messages
447
Likes
153
Points
60
Age
26
Mr Mav

Mr Mav

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2016
447 153 60
Daaaah! mbona empty huku!?
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,626
Likes
8,996
Points
280
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,626 8,996 280
Skuiz unawah sana ..duh
 
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
4,921
Likes
8,997
Points
280
Z

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
4,921 8,997 280
Vipi kuhusu makato ya HESLB?
Ni asilimia 15 au bado ni ile ile asilimia 8?

Maana nyongeza ya mshahara hakuna, lakini makato yanaongezeka tu.
 
L

luirhu

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2014
Messages
583
Likes
166
Points
60
L

luirhu

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2014
583 166 60
Kwanza mshukuru sikuhizi mnawahishiwa mshahara, je mnakunbuka zamani mlivyo kuwa mnachelwweshewa hadi tare 5 au hata 7. Kwa sasa ajira ngumu bora ushukuru uko kazini, kama hutaki acha wengine wachukue kazi hiyo.
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,608
Likes
10,076
Points
280
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,608 10,076 280
jamani mbona ongezeko hola, maisha yatakuwa hovyo sana
Ongezeko la nini sasa mkuu? unapaswa kuishi kama shetani. Sasa hivi tunatafuta namna gani tupunguze hata hicho kingi unachopata sasa. We need more money for infrastructures' development na sisi ni matajiri sana, hatuhitaji misaada kutoka nje yenye masimango.
 
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Messages
10,762
Likes
4,021
Points
280
muhomakilo jr

muhomakilo jr

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2013
10,762 4,021 280
Daah huyu jamaa mbishi Sana.
 
C

Chief wa kibena

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2016
Messages
690
Likes
388
Points
80
C

Chief wa kibena

JF-Expert Member
Joined Mar 13, 2016
690 388 80
Tumeshawachoka sasa na nyie mshahara mdogo kila siku acheni kazi mje kitaa mjue nini maana ya kazi
kila mtu anapigana kutokana na urefu wa kamba yke, we endelea kumsubiria magu arudishe Ajira, nasi kupigania magu aongeze kasalsry.
 
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Likes
662
Points
280
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 662 280
Kwanza mshukuru sikuhizi mnawahishiwa mshahara, je mnakunbuka zamani mlivyo kuwa mnachelwweshewa hadi tare 5 au hata 7. Kwa sasa ajira ngumu bora ushukuru uko kazini, kama hutaki acha wengine wachukue kazi hiyo.
mkuu nanyi wote tunawaombea mpate lkn hakuna maana mby ktk hili ni kuhabarishana tu
 
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Messages
4,193
Likes
662
Points
280
mansakankanmusa

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2010
4,193 662 280
Nita mshangaa anaesaka ajira na Jupiter muda ktk nyuzi hiz tena unajibu upupu........
 

Forum statistics

Threads 1,275,100
Members 490,908
Posts 30,532,670