Salamu za mwaka mpya kuoka kwa Donald Trump

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
10,001
2,000
Huyu Mh kama hatabadilika anaweza kuwa one term president wa USA
Yeah yuko na shida sana kwenye diplomacy..........

Na Sera zake za uchumi kuanzia 2017 uenda ikawa kama Tanzania na Nigeria maana ni watu wasiopenda sana kushauriwa........
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom