Mugo"The Great"
JF-Expert Member
- Oct 7, 2007
- 262
- 25
Easier said than done, isn't it? Your (and MKJJ's) words and ideas may sound great on paper but the are in practice as worthless as Nyerere and his Ujamaa political ideology. Hao Wasomi wengi wao wana lengo moja tu: kuiacha nchi na kwenda Ughaibuni kwenye mazingira mazuri zaidi ya maisha. Kwa maneno mengine, usomi ni kama "means to an end". Kama kweli moo makini na mawazo na maneno yenu, basi na nyie mngefunga mizigo huko mlipo Ulaya na Marekani na kurudi nyumbani mkasote nao bega bega hao Wasomi na kuyafanya kwa vitendo hayo mnayohubiri.
Kamanyola,
Don't give up my brother, hata Rome haikujengwa siku moja. By the way, tupo hapa hapa bongo tunapambana na kuchakarika, wee katiza mitaa ya Yombo-Buza tutakutana.Hatuongei haya tukiwa Uropa au America.
Back to the point: -If Tanzanians work hard will achieve and if they sow, they will surely reap. Salam hizi za mshikamano ni mbegu zinazopandwa kwenye udongo na zikitunzwa vizuri zitazaa matunda ambayo ni maendeleo. Tusiende mbali kujilinganisha na Ulaya ebu jaribu kutembelea Windhoek, Gaborone na hata Luanda, utaona tofauti yao na sisi tuliopata uhuru miaka ya 60. Am sure Tanzanians would accomplish many more things if they do not think of them as impossible.
"
Ideas are a capital that bears interest only in the hands of Talent"-Antoine De Revarol