Salamu za Mshikamano

Shetani

Member
Oct 23, 2007
30
0
Majuzi tumepokea salamu za mshikamano kwenye kongamano la wanafunzi lililoitishwa na CHADEMA kutoka kwa mtu anayejiita M.M. Mwanakijiji. Lakini hatukuambiwa kwamba huyu bwana ni nani na ametuma hizi salamu kama nani. Je, iweje chama cha siasa kiruhusu mtu ambaye wameshindwa kumtambulisha alete salamu za mshikamano. Kwenye hizo salamu za MM Mwanakijiji anawahamasisha wanafunzi waafanye uasi, wagome na mambo mengineyo. Sasa hivi hao wanafunzi ni mafala kiasi gani kwa kupokea ujumbe bubu, ambao aliyeuandika ni kunguru asiyejitambulisha?
 
Mwakilishi

JF-Expert Member
Jan 31, 2007
484
195
Badala ya kujadili hoja unamjadili mtoa hoja na tena unajeuri ya kumwita "kunguru asiyejitambulisha"!

Sasa mimi nasema hivi: Shetani ushindwe na ulegee!
 
Shemzigwa

JF-Expert Member
Jan 8, 2007
335
0
mtu mwenyewe shetani kazi kweli kweli hadi mashetani siku hizi wanakuja huku...?
 
Kitila Mkumbo

JF-Expert Member
Feb 25, 2006
3,350
2,000
kwanza badilisha hilo jina, otherwise, umeshindwa kabla hujaanza kazi yako maana hapa JF kuna roho mtakatifu na wote walipo humu wamezaliwa upya
 
Rwabugiri

JF-Expert Member
Jul 10, 2007
2,776
1,195
Shetani shindwa na ulegeeeeeeeeee!!!!

Hapa ni kwa wateule katafute zizi lako!

Nani yuko tayali kusikia ujumbe toka kwa shetani?? shindwa shindwa shindwa na ulegee!!
 
Shetani

Member
Oct 23, 2007
30
0
Shetani bado ana wafuasi wengi, hata katika wale wanaovaa majoho na kanzu. Kwahiyo yule ambaye hajawahi kurubuniwa na shetani katika maisha yake(hata kuiba cookie), na awe wa kwanza kurusha jiwe. CHADEMA mnashindwa hoja mnajadili jina langu mimi shetani. Sasa nawaambia watu wa CHADEMA mmeingiliwa, fungeni mkanda.

Na tuendelee na hoja.

Majuzi tumepokea salamu za mshikamano kwenye kongamano la wanafunzi lililoitishwa na CHADEMA kutoka kwa mtu anayejiita M.M. Mwanakijiji. Lakini hatukuambiwa kwamba huyu bwana ni nani na ametuma hizi salamu kama nani. Je, iweje chama cha siasa kiruhusu mtu ambaye wameshindwa kumtambulisha alete salamu za mshikamano. Kwenye hizo salamu za MM Mwanakijiji anawahamasisha wanafunzi waafanye uasi, wagome na mambo mengineyo. Sasa hivi hao wanafunzi ni mafala kiasi gani kwa kupokea ujumbe bubu, ambao aliyeuandika ni kunguru asiyejitambulisha?
 
Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,327
2,000
Nakushauri upost hizo Salamu za Mshikamano... tuone kama zinachochea uasi au uasi wa kifikra! Au nitajitolea kuzibandika hapa.
 
Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,095
2,000
Nakushauri upost hizo Salamu za Mshikamano... tuone kama zinachochea uasi au uasi wa kifikra! Au nitajitolea kuzibandika hapa.

Kama unazo (Mwanakijiji) kutokana na kuwa Shetani katoweka (yuko offline) basi ziweke iwe rahisi kung'amua pumba na mchele.

Thanks
 
Dua

JF-Expert Member
Nov 14, 2006
3,233
2,000
Ukiona hivyo lazima ufahamu kwamba Dua la kuku limempata mwewe, na huyu mwewe ameanza kuweweseka.
 
Kafara

JF-Expert Member
Feb 17, 2007
1,391
1,500
... Sasa nawaambia watu wa CHADEMA mmeingiliwa, fungeni mkanda...
[/B]

kwi, kwi, kwi kwi, nadhani salamu hizi ungezifikisha kwenye mkutano wa chadema uliomalizika leo kwi, kwi, kwi. hapa jf mwendo mdundo ni hoja tu
 
Mwawado

JF-Expert Member
Nov 2, 2006
995
195
Huu sio Utaratibu wa humu kuanza kumtafuta nani ni nani?Wanaotaka wanaingia kwa majina yao wenyewe kama akina Mkumbo,Mnyika,Madilu au Zitto,Yule aliyekuja kama Mtanzania Tumtambue kwa Jina hilo tu, na si vinginevyo.Huyu Mh.Kamanyola anakuja na utaratibu Mpya.Kwanza keshatutukana sana kwa "Ubantu" wetu,sasa anakuja kwa nia ya kutuweka wazi.

Admn,naona umtafutie utaratibu huyu Muungwana,kwa sababu hata hilo jina Kamanyola ni geni na kabla ya hapo aliingia kwa majina ya Patel,VRS au Jokofu kama sikosei!Jaribuni kufuatilia maandiko yake,Jamaa ni Mkorofi,Mchochezi na Mbaguzi.

Hatupo hapa kutaka kujua Mwanakijiji au Invisible ni nani?Tunajali na kuheshimu Hoja zao.Mkulu Admn, Tafadhali tafuta utaratibu wa kuzungumza na huyu Muungwana.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,726
2,000
No Mwawado. Raj Patel sio VRS/Jokofu Kiwete/ Kamanyola. VRS ni Njabu Ngabu aka Brocolli kutoka bcstimes.com...ni kubwa jinga fulani hivi aishie Sweden. Jamaa ana miaka 40 lakini ana behave kama kasichana kalikovunja ungo. Moderators niachieni nimshikishe adabu huyu
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Majuzi tumepokea salamu za mshikamano kwenye kongamano la wanafunzi lililoitishwa na CHADEMA kutoka kwa mtu anayejiita M.M. Mwanakijiji. Lakini hatukuambiwa kwamba huyu bwana ni nani na ametuma hizi salamu kama nani. Je, iweje chama cha siasa kiruhusu mtu ambaye wameshindwa kumtambulisha alete salamu za mshikamano. Kwenye hizo salamu za MM Mwanakijiji anawahamasisha wanafunzi waafanye uasi, wagome na mambo mengineyo. Sasa hivi hao wanafunzi ni mafala kiasi gani kwa kupokea ujumbe bubu, ambao aliyeuandika ni kunguru asiyejitambulisha?

TOKA TOKA TOKA!!!

images
+
images

SteveD.
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,404
2,000
Huu sio Utaratibu wa humu kuanza kumtafuta nani ni nani?Wanaotaka wanaingia kwa majina yao wenyewe kama akina Mkumbo,Mnyika,Madilu au Zitto,Yule aliyekuja kama Mtanzania Tumtambue kwa Jina hilo tu, na si vinginevyo.Huyu Mh.Kamanyola anakuja na utaratibu Mpya.Kwanza keshatutukana sana kwa "Ubantu" wetu,sasa anakuja kwa nia ya kutuweka wazi.

Admn,naona umtafutie utaratibu huyu Muungwana,kwa sababu hata hilo jina Kamanyola ni geni na kabla ya hapo aliingia kwa majina ya Patel,VRS au Jokofu kama sikosei!Jaribuni kufuatilia maandiko yake,Jamaa ni Mkorofi,Mchochezi na Mbaguzi.

Hatupo hapa kutaka kujua Mwanakijiji au Invisible ni nani?Tunajali na kuheshimu Hoja zao.Mkulu Admn, Tafadhali tafuta utaratibu wa kuzungumza na huyu Muungwana.

Hadi Mwawado anakasirika, kweli kuna maudhi yapo hapa... BTW, kumbe nawe unanikaribia katika 'utafiti'... lol!

SteveD.
 
Mkandara

JF-Expert Member
Mar 3, 2006
15,534
2,000
Nyani Ngabu,
[No Mwawado. Raj Patel sio VRS/Jokofu Kiwete/ Kamanyola. VRS ni Njabu Ngabu aka Brocolli kutoka bcstimes.com...ni kubwa jinga fulani hivi aishie Sweden. Jamaa ana miaka 40 lakini ana behave kama kasichana kalikovunja ungo. Moderators niachieni nimshikishe adabu huyu

Duh, mzee wangu utanisamehe kwani siku zote nilikuwa anikifahamu kuwa huyo Njabu Ngabu ndio wewe.
 
Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
90,726
2,000
No Bob, kuna Nyani ambaye ni mimi halafu kuna Njabu ambaye ndio huyu Kamanyola aka Jokofu Kiwete aka na mengine mengi tu. Jina la Nyani lilitokana na Raj Patel kumwita Njabu Ngabu Nyani Ngabu. I guess kwa Raj jina Njabu lilikuwa liko karibu na neno Nyani so ktk dhihaka zake kwa watu weusi akambatiza Njabu hilo jina. So mimi baada ya kuona hivyo nikalipenda jina la Nyani na tokea siku hiyo nikawa Nyani Ngabu. Naelewa kwa nini watu wananichanganya mimi na Njabu lakini ni watu wawili tofauti sana
 
Ben Saanane

JF-Expert Member
Jan 18, 2007
14,588
2,000
Man, why is it so hard for you to respect others? Or it's just because you are hiding somewhere infront of your screen?

Just be a gentleman,we still need your constructive contributions here!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom