Salamu za Lissu DUA: Pamoja na wagombea wetu kuenguliwa, Watanzania wametuunga mkono kwa nguvu kubwa. Tunataraji ushindi mkubwa mwezi Oktoba

kindafu

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
1,346
1,676
Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, ametuma salamu zake kwa Democrat Union of Africa (DUA) ambacho kimefanya mkutano wa uchaguzi huko nchini Ghana.

DUA ni ushirika wa vyama vya siasa vya mrengo wa kati-kulia barani Afrika. Ilianzishwa huko Dakar, Senegal, mnamo 1997. DUA inalenga kukusanya pamoja vyama vyenye malengo sawa na malengo ya kisiasa, kama vile ulinzi wa demokrasia na uhuru wa mtu binafsi, kutoka Afrika nzima, na makao yake makuu yapo mjini Accra, nchini Ghana.

DUA ina vyama washirika 19 ambapo baadhi ya vyama kwa sasa vinaongoza serikali ikiwa ni pamoja na New Patriotic Party cha nchini Ghana, Malawi Congress Party MCP (ambacho kmeshinda uchaguzi hivi karibuni) pamoja na Sierra Leone People's Party (SLPP).

MUHTASARI WA SALAMU (KWA KISWAHILI)

Tunafanya uchaguzi muhimu zaidi katika historia yetu yote. Tunaweza kuandika historia ndani ya muda wa mwezi mmoja ujao kwa kuishinda CCM, moja ya vyama kongwe barani Afrika -- kukiondoa madarakani ili kuunda Tanzania yenye haki na ya kidemokrasia zaidi.

Kampeni inaendelea vizuri sana na tunapata mwitikio mkubwa toka kwa Watanzania.

Tuna nafasi nzuri sana. Tunasimama katika nafasi ya kuandika historia na huu ni wakati wa kufurahisha kwa sisi ambao tuko Tanzania, na nadhani pia kwa familia ya DUA kwa ujumla.

Takribani wagombea wetu 60 wa ubunge waliondolewa lakini tumeweza kuwarudisha kupitia rufaa.

Lakini kwa jumla, licha ya shida hizi zote, Watanzania wanaitikia kampeni zetu kwa nguvu kubwa; wanaitikia ujumbe wetu wa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Tunatarajia ushindi mkubwa mwezi ujao.

Natoa wito kwa DUA na marafiki wetu wote ulimwenguni kuunga mkono kampeni hii; kuunga mkono mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania ili tupate uchaguzi huru, wa haki na wa kuaminika.

........................................................................................................................................................................................................................................

PART OF THE SPEECH (IN ENGLISH TEXT)
(Introductory and congratulatory remarks)

We are having one of the most important elections in our entire history. We may be making history in a month’s time by defeating CCM, one of the oldest parties in Africa – removing it from power in order to create a more just and more democratic Tanzania.

The campaign is going on very well. We’re having a massive, massive response from the Tanzanian people.

We have a very good chance. We stand on the brink of making history and it is exciting time for those of us who are in Tanzania, and I think for the DUA family as a whole.

The campaign as I have said is going on very well; we are having massive response – our rallies are attended by tens of thousands of people. Everywhere we have gone, things have gone very well.

Of course, there have been very serious problems created by unfair electoral system. Our candidates in parliamentary and municipal contests have been disqualified.

Over 60 of our parliamentary candidates, over a quarter of our candidates were disqualified by the returning officers. But we have managed to bring them back through appeals.

So, where we are now our candidates have been disqualified in about 20 constituencies. With regards to municipal contests, we have had much worse luck than in parliamentary contests because hundreds of our civic candidates remain disqualified and therefore that is not a very good thing.

But all in all, in spite of these problems, the Tanzanian people are responding massively to our campaigns; responding massively to our message of freedom, justice and people-centered development. And we are looking forward to a massive win come next month.

In a situation where these elections are being fought on terms which are wholly unfair to us in the opposition, I call on members of the DUA and the democratic family of the world to support us in all aspects – to support us diplomatically, to put pressure to bear on the regime to ensure that we have a free and fair election. To support us materially; to give us your own experiences which we can tailor to our needs in Tanzania.

So, I call upon DUA and all our friends worldwide to support this campaign, to support the democratic process in Tanzania so that we have free, fair and credible elections.

I wish and I call upon all of you to spread this message across our members and colleagues wherever the may be in Africa.

I thank you and I wish you well during this important meeting.
 
The Democratic Party (DP) president Norbert Mao has been elected secretary general of the Democrat Union of Africa (DUA).

The election took place on Saturday during the organization’s general meeting which was held virtually via videoconferencing app, Zoom. The meeting attracted participants from centre-right political parties from across Africa and was addressed by Ghanaian President Nana Akufo Addo, the organization’s patron. Tundu Lissu, the flagbearer of Tanzanian opposition party Chadema in the on-going elections also addressed the meeting.

According to the press statement issued by the DUA, the Namibian leader of opposition McHenry Venaani was elected chairman and he is deputized by John Boadu, the secretary-general of Ghana’s ruling New Patriotic Party (NPP). Narend Singh from South Africa’s Inkatha Freedom Party (IFP) was elected treasurer.

According to the press statement, four regional vice presidents were also elected. They include; Nick Salat from Kenya (KANU), Dr Elias Chakwera from Malawi (Malawi Congress Party), Dr Agbo Emmanuel from Nigeria (Peoples Democratic Party) and Rahhal El Makkaoui from Morocco (Independence Party/Hizb al-Istiqlal/Parti de l'Indépendance)

"Mao will serve for three years alongside these other elected officials." part of the statement read.

The Democrat Union of Africa (DUA) is an association of democratic parties in Africa and like-minded political parties of the centre and centre-right. Founded in Dakar, Senegal, in 1997, it is affiliated to the global International Democrat Union (IDU).

The Union provides a forum in which parties holding similar beliefs can come together and exchange views on matters of policy and organizational interest so that they can learn from each other, act together, establish contacts and speak with one strong voice to promote democracy and centre, centre-right policies around Africa.

DUA was formed with a belief that democratic society provides individuals with conditions for political liberty, personal freedom and equality of opportunity under the rule of law. Therefore DUA promotes a culture of pluralistic competition, enterprise and socially-oriented market economy
 
"...we are having one of the most important and most effective campaign......it is exiting we have massive resimponse from Citzens in our rallies...."

Ung'eng'e mtamu kama huu huwa naupata kwa akina Shaka in this week perspectives✌✌✌✌✌
 
Hapa huba limezidi......!!
though wote tunataka mabadiliko
 
Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, ametuma salamu zake kwa Democrat Union of Africa (DUA) ambacho kimefanya mkutano wa uchaguzi huko nchini Ghana.

DUA ni ushirika wa vyama vya siasa vya mrengo wa kati-kulia barani Afrika. Ilianzishwa huko Dakar, Senegal, mnamo 1997. DUA inalenga kukusanya pamoja vyama vyenye malengo sawa na malengo ya kisiasa, kama vile ulinzi wa demokrasia na uhuru wa mtu binafsi, kutoka Afrika nzima, na makao yake makuu yapo mjini Accra, nchini Ghana.

DUA ina vyama washirika 19 ambapo baadhi ya vyama kwa sasa vinaongoza serikali ikiwa ni pamoja na New Patriotic Party cha nchini Ghana, Malawi Congress Party MCP (ambacho kmeshinda uchaguzi hivi karibuni) pamoja na Sierra Leone People's Party (SLPP).

MUHTASARI WA SALAMU (KWA KISWAHILI)

Tunafanya uchaguzi muhimu zaidi katika historia yetu yote. Tunaweza kuandika historia ndani ya muda wa mwezi mmoja ujao kwa kuishinda CCM, moja ya vyama kongwe barani Afrika -- kukiondoa madarakani ili kuunda Tanzania yenye haki na ya kidemokrasia zaidi.

Kampeni inaendelea vizuri sana na tunapata mwitikio mkubwa toka kwa Watanzania.

Tuna nafasi nzuri sana. Tunasimama katika nafasi ya kuandika historia na huu ni wakati wa kufurahisha kwa sisi ambao tuko Tanzania, na nadhani pia kwa familia ya DUA kwa ujumla.

Takribani wagombea wetu 60 wa ubunge waliondolewa lakini tumeweza kuwarudisha kupitia rufaa.

Lakini kwa jumla, licha ya shida hizi zote, Watanzania wanaitikia kampeni zetu kwa nguvu kubwa; wanaitikia ujumbe wetu wa Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu. Tunatarajia ushindi mkubwa mwezi ujao.

Natoa wito kwa DUA na marafiki wetu wote ulimwenguni kuunga mkono kampeni hii; kuunga mkono mchakato wa kidemokrasia nchini Tanzania ili tupate uchaguzi huru, wa haki na wa kuaminika.

........................................................................................................................................................................................................................................

PART OF THE SPEECH (IN ENGLISH TEXT)
(Introductory and congratulatory remarks)

We are having one of the most important elections in our entire history. We may be making history in a month’s time by defeating CCM, one of the oldest parties in Africa – removing it from power in order to create a more just and more democratic Tanzania.

The campaign is going on very well. We’re having a massive, massive response from the Tanzanian people.

We have a very good chance. We stand on the brink of making history and it is exciting time for those of us who are in Tanzania, and I think for the DUA family as a whole.

The campaign as I have said is going on very well; we are having massive response – our rallies are attended by tens of thousands of people. Everywhere we have gone, things have gone very well.

Of course, there have been very serious problems created by unfair electoral system. Our candidates in parliamentary and municipal contests have been disqualified.

Over 60 of our parliamentary candidates, over a quarter of our candidates were disqualified by the returning officers. But we have managed to bring them back through appeals.

So, where we are now our candidates have been disqualified in about 20 constituencies. With regards to municipal contests, we have had much worse luck than in parliamentary contests because hundreds of our civic candidates remain disqualified and therefore that is not a very good thing.

But all in all, in spite of these problems, the Tanzanian people are responding massively to our campaigns; responding massively to our message of freedom, justice and people-centered development. And we are looking forward to a massive win come next month.

In a situation where these elections are being fought on terms which are wholly unfair to us in the opposition, I call on members of the DUA and the democratic family of the world to support us in all aspects – to support us diplomatically, to put pressure to bear on the regime to ensure that we have a free and fair election. To support us materially; to give us your own experiences which we can tailor to our needs in Tanzania.

So, I call upon DUA and all our friends worldwide to support this campaign, to support the democratic process in Tanzania so that we have free, fair and credible elections.

I wish and I call upon all of you to spread this message across our members and colleagues wherever the may be in Africa.

I thank you and I wish you well during this important meeting.

Inasadikika kuwa Tundu lissu atashinda kwa kura 68% asubuhi na mapema.
 
Back
Top Bottom