Salamu za CCM ni vipi?


SOCIOLOGISTTZ

SOCIOLOGISTTZ

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Messages
2,604
Likes
39
Points
145
SOCIOLOGISTTZ

SOCIOLOGISTTZ

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2013
2,604 39 145
Wana JF, nakumbuka zamani salamu za chama (CCM) zilikuwa kama ifuatavyo;
Kidumu chama cha Mapinduzi? .............
Idumu siasa ya ujamaa na kujitegemea ..................
Zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa CCM...........


Lakini siku hizi utawasikia wakisema CCM hoyee!
Nataka kujua zile salama za chama zimeishia wapi? na jee CCM hoyee ndiyo salamu za chama?
Naomba mnijuze wadau.
 

Forum statistics

Threads 1,252,121
Members 481,988
Posts 29,796,582