Salamu ya Rais Samia Suluhu 'Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano' ni salamu bomba sana

Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ni salamu ya kitaifa kwelikweli😀😀

1.Asalam aleykumu
2.Tumsifu Yesu kristu..
Hizi za ibadani zilikuwa ni za unafiki tena za kiubaguzi! Tena sina uhakika sana kama Asalam Aleykumu ni kwa imani ya Uislamu na ina maana sawa na hizo za wakristo.

Ni unafiki kwa Mwislamu kwa mfano kuwasalimu ' Tumsifu Yesu Kristu' au kwa Mkristo 'Asalam Aleykumu! Ni ubaguzi kwa zile dini zingine ndogo kama madhehebu ya Budha na hata wapagani! Big up kwa Mh Rais Samia Suluhu!
 
Hizi za ibadani zilikuwa ni za unafiki tena za kiubaguzi! Tena sina uhakika sana kama Asalam Aleykumu ni kwa imani ya Uislamu na ina maana sawa na hizo za wakristo. Ni unafiki kwa Mwislamu kwa mfano kuwasalimu ' Tumsifu Yesu Kristu' au kwa Mkristo 'Asalam Aleykumu! Ni ubaguzi kwa zile dini zingine ndogo kama madhehebu ya Budha na hata wapagani! Big up kwa Mh Rais Samia Suluhu!
 
SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
Sio lazima...mimi nimependa salamu yake. Serikali haina dini ila watu wake wana imani mbalimbali! Kuna wengine awaamini kama mungu yupo! Nilichojifunza kutoka kwa Mhe Raisi Samia Suluhu Hassan kwa muda mfupi hapendi kufanya vitu kwa mazoea/formalities.

Ni kiongozi anayependa kujiuliza "why" nyingi kabla hajatenda. Ni kiongozi hapendi unafiki na kujipendekeza...anapenda kuwa real na anapenda tuwe real sio "ku-fish".

Sio wote watamkao neno la mungu ni watu wa mungu...wengi ulitamka neno la mungu kwa kujionesha tu kama ni watu wa mungu mbele za watu kumbe ni kinyume kabisa.
 
Lakini akitumia maneno "Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi" iko vizuri maana waislamu wanaitumia na kwenye bible pia kuna verse Yesu naye alitumia maneno kama hayo kusalimia wafuasi wake
 
Tanzania ina zaidi ya Waislamu na Wakristo.
Labda useme tupuuze hizo imani nyingine zenye watu kidogo na wale wasio na dini.

Ni kweli wapo, lakini wachache sana.

Kama kwenye wimbo wetu wa Taifa na Sala ya Bunge tumemtaja Mungu, basi hawa Watanzania wasioamini Mungu au wanaoabudu Mizimu watusamehe tu maana wao ni minority na demokrasia inataka wengi wape
 
SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
namkumbuka yule simioni katika matendo ya mitume alihutubia bila ya kumtukuza mungu kwanza na ikaandikwa alipata matatizo makubwa
 
SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
Kuna imani zaidi ya 4000 TANZANIA...

Inaonekana wewe ndo hujitambui
 
Huwa nawasalimu kwa jina la Yesu.
Ila ukichambua hii salaam inayoadress kila dini ni kama kutenganisha watanzania kwa madhehebu yao. Maana asalaam aleykum,=waislamu tu ndio wamesalimiwa, tumsifu Yesu Kristo = hapo umesalia wakatoliki tu, Bwana asifiwe hapo umesalimia walokole tu. Sasa kwa nini tubaguane kiimani?

Watu wenye hekima wake watunge salaamu inayotuunganisha wa tanzania wote.mfano (amani ya Mungu wetu muse nayo). Au simply (ndugu zangu hamjambo?) Halafu unalondoka unawaaga ,(bakini salama.). inatosha kuliko salaam ndefu inayowakilsha kila dini si nzuri sana kwa kujenga utaifa..
 
Acheni kuisumbua CCM sasa ooh Tunataka katiba mpya, mara msibani upinzani hawakupewa nafasi ya kuongea, mara maridhiano.

Msilalamike Heri James wa UVCCM anaposema CCM ndio inaamua pa kupeleka maendeleo, na wakitaka wanapeleka au hawapeleki na hakuna cha kuwafanya.

Msisime ooh tunalipa kodi wote, upinzani ni minority kama hao minorities wengine kwa sasa na hata wao wanalipa kodi pia.
Ni kweli wapo, lakini wachache sana.

Kama kwenye wimbo wetu wa Taifa na Sala ya Bunge tumemtaja Mungu, basi hawa Watanzania wasioamini Mungu au wanaoabudu Mizimu watusamehe tu maana wao ni minority na demokrasia inataka wengi wape
 
Anaewabagua watu kwenye teuzi kwa sababu za kidini na anaewabagua watu kwenye salamu kwa sababu za kidini hivi hapo nani atakuwa mdini zaidi kwa mfano?
 
45 Reactions
Reply
Back
Top Bottom