Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,471
- 46,002
Mbona hamkusanyi sadaka kila mahali?
Mungu hayuko kanisani tu wala msikitini yupo kila mahala.
Mungu hayuko kanisani tu wala msikitini yupo kila mahala.
Inabidi tujue Kwanz ni Mungu gani a naongelewa.
Maana Mungu wa wakristo sio wa waislam...
Hapo siwezi kuisapot kama ume-copy huko. Hili lijinamizi inatakiwa life na copy zake zoteIdumu Jamhuri ya Muungano....nimekopi ile ya kidumu chama cha Mapinduzi
Serikali haina dini...
Tukiwa kwenye issues za kiserikali tunasalimiana kiserikali.
Hizi za ibadani zilikuwa ni za unafiki tena za kiubaguzi! Tena sina uhakika sana kama Asalam Aleykumu ni kwa imani ya Uislamu na ina maana sawa na hizo za wakristo.Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ni salamu ya kitaifa kwelikweli😀😀
1.Asalam aleykumu
2.Tumsifu Yesu kristu..
Hizi za ibadani zilikuwa ni za unafiki tena za kiubaguzi! Tena sina uhakika sana kama Asalam Aleykumu ni kwa imani ya Uislamu na ina maana sawa na hizo za wakristo. Ni unafiki kwa Mwislamu kwa mfano kuwasalimu ' Tumsifu Yesu Kristu' au kwa Mkristo 'Asalam Aleykumu! Ni ubaguzi kwa zile dini zingine ndogo kama madhehebu ya Budha na hata wapagani! Big up kwa Mh Rais Samia Suluhu!
Sio lazima...mimi nimependa salamu yake. Serikali haina dini ila watu wake wana imani mbalimbali! Kuna wengine awaamini kama mungu yupo! Nilichojifunza kutoka kwa Mhe Raisi Samia Suluhu Hassan kwa muda mfupi hapendi kufanya vitu kwa mazoea/formalities.SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
Lakini akitumia maneno "Amani ya Mwenyezi Mungu iwe nanyi" iko vizuri maana waislamu wanaitumia na kwenye bible pia kuna verse Yesu naye alitumia maneno kama hayo kusalimia wafuasi wake
Kwani sadaka ni lazima? Pia sadaka si fedha pekee. Nenda kwa wahindu utajua sadaka ni nini. Au jamatini.Mbona hamkusanyi sadaka kila mahali?
Ni kweli wapo, lakini wachache sana.Tanzania ina zaidi ya Waislamu na Wakristo.
Labda useme tupuuze hizo imani nyingine zenye watu kidogo na wale wasio na dini.
namkumbuka yule simioni katika matendo ya mitume alihutubia bila ya kumtukuza mungu kwanza na ikaandikwa alipata matatizo makubwaSIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
Kuna imani zaidi ya 4000 TANZANIA...SIAFIKI HIYO SALAMU. Lazima appreciate Imani mbalimbali za watZ na hiyo inamleta karibu zaidi na Watanzania. kama makafiri na wenye imani za asili wamemwambia anapendelea basi ni dhahiri hajitambui.
Ila ukichambua hii salaam inayoadress kila dini ni kama kutenganisha watanzania kwa madhehebu yao. Maana asalaam aleykum,=waislamu tu ndio wamesalimiwa, tumsifu Yesu Kristo = hapo umesalia wakatoliki tu, Bwana asifiwe hapo umesalimia walokole tu. Sasa kwa nini tubaguane kiimani?Huwa nawasalimu kwa jina la Yesu.
Ni kweli wapo, lakini wachache sana.
Kama kwenye wimbo wetu wa Taifa na Sala ya Bunge tumemtaja Mungu, basi hawa Watanzania wasioamini Mungu au wanaoabudu Mizimu watusamehe tu maana wao ni minority na demokrasia inataka wengi wape