Salamu ya Freeman Mbowe yaamsha ari Mahakamani, ni ile ile ya no hate no fear

Jaji awe muangalifu sana katika undeshaji wa kesi hii na maamuzi atakayokuja kuyatoa yatamgarimu milele na kizazi chake ajue kuna kitabu lazima kitungwe na kitasomwa duniani kote na nina hakika shule za sheria zita kitumia hivyo Jaji Jaji Jaji kuwa mwangalifu asiteme bigijii kwa karanga za kuonjeshwa
Jaji anamtihani mkubwa sana.Atoke kama shujaa au kama mtu asiye na thamani duniani
 
Jaji awe muangalifu sana katika undeshaji wa kesi hii na maamuzi atakayokuja kuyatoa yatamgarimu milele na kizazi chake ajue kuna kitabu lazima kitungwe na kitasomwa duniani kote na nina hakika shule za sheria zita kitumia hivyo Jaji Jaji Jaji kuwa mwangalifu asiteme bigijii kwa karanga za kuonjeshwa
Pilato usimtishe apangiwi pa kupiga vumilia mpaka mwisho utaona na dunia itaendelea kuzunguka kama kawaida haita simama na mambo yatakuwa kama kawaida
 
Wakuu kiukweli wako watu ambao wamebarikiwa ushawishi nchini Tanzania , miongoni mwao ni huyu Mwenyekiti wa Chadema aliyeshikiliwa jela kwa zaidi ya siku 200 , na kwa hakika watu kama hawa humu duniani wako wachache mno .

Hebu sikieni na kuona wenyewe Mbowe akisalimia baada ya kuingia mahakamani .

View attachment 2114323
Mwenyekiti wangu mie .. ✌🏽✌🏽✌🏽
08286F96-2571-42B5-AF7D-77CD3575A769.jpeg
 
Nadhani kama Chama na Kanda huko aliko watatupa taarifa Rasmi. Ni muhimu sana afya ya mtanzania mwenzetu
Kweli kila mwanachadema asaidiwe na wa kanda yake, Prof J asaidiwe na wa kanda ya unyakyusani na Mbowe asaidiwe na wa kaskazini.
 
Proffesa Jay anaumwa..

Chadema tunaomba michango na uhamasishaji kama chama.

Sio michango ya Mbowe Tu wakati Jay Yuko mahututi
Hayakuhusu ndiyo maana hujui kinachoendelea mumekalia majungu tu kama machangudoa vile. CCM ni laana na maccm wote mumelaaniwa
 
Back
Top Bottom