James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Kwa wachache waliofuatilia mada zangu nadhani wanajua kwamba mimi siko upande wa CCM na serikali kwenye mambo mengi. Naanza na hayo kwasababu watu wengine wataanza kusema mimi ni kada wa CCM.
Mimi binafsi nafikiri hii salamu ya "peoples, power" ingefaa kuwa ya Kiswahili ili kujivunia lugha yetu.
Awali nilishawahi kuto mada chache kuonyesha kuudhika na watu wanaoongea Kiswahili kibovu. Nilitaja pia watu wanaopenda kuchanganya Kiswahili na Kiingereza bila sababu za msingi.
Kwa maoni yangu nafikiri hili la CHADEMA pia lafaa kufanyiwa kazi.