uujn
JF-Expert Member
- Mar 24, 2019
- 666
- 849
hayo maswali yanakera sana..mi nilimpa mtu jibu hilo mbele ya kadamnasi, kwahiyo hata wale ndugu zangu wenye viherehere wametulia tuliiii...I hate it too..!Ebu nipe mbinu jinsi ya kulijibu hilo swali maana huwa natamani kuchapa watu vibao nashindwa ni ndugu zangu wakubwa tu wanavoniuliza kuhusu kuhusu kuolewa kama mimi ndiye mzee mtaa mzima, i hate it