Salamu na Shukrani toka kwa Maskini_Jeuri

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
68,012
95,352
Wapendwa marafiki katika jina la Invizibo.

Kama mtakumbuka mwanachama hai wa MMU kitengo cha ISC ndugu yetu Maskini Jeuri alipata ajali mbaya sana takribani wiki tatu zilizopita.

Ilikuwa ajali mbaya iliyogharimu uhai wa binadamu mmoja, na wengine kujeruhiwa. Tunamshukuru Mungu, mpiganaji mwenzetu yuko salama na anaendelea vema.

Nimetoka kuongea naye hivi punde. Anawasalimu, Anawamisi na Anawashukuru kwa ushauri na pole mlizompa. Amefarijika sana. Ameniomba niwashukuru kwa niaba yake. Shukrani za kipekee kabisa amezituma kwa katibu Roya Roy. Mkuu unashukuriwa kwa msaada mkubwa uliompa. Ulimsaidia sana.

Pia kesi yake mahakamani imeshatolewa hukumu. Amepatikana na hatia katika makosa saba. Amepigwa faini ya Tsh 60,000/= (ambazo ofkozi ameshalipa, vinginevyo angeenda jela miaka mitatu). Pia kapigwa BAN la kuendesha gari kwa miaka mitatu. Ofkozi kuna "gharama" za uendeshaji wa kesi ambazo zilimgarimu kama 2m hivi, lakini maisha yanapaswa kuendelea.

Kwa ujumla, pokeeni salamu, shukrani na ahsante nyingi toka kwa mpiganaji Maskini_Jeuri.

Nawasilisha kwa upendo.

Mtumishi wenu mtiifu.

Asprin
 
Asante sana mkuu Asprin,binafsi nafurahi kuskia kutoka kwake.Muhimu amemaliza na ni mzima maisha yanasonga mbele, Mungu ataziba kila pengo
 
asante kwa taarifa hili, MJ ni mpiganaji hodari...........natumaini hali itakapokuwa njema, tutapata supu pale marangu, maini na mambo flani utumbo na mguu wa mbele a.k.a jembe!

lakini, kurudia sehemu mara nne bila ku-observe rule number 3 ni kosa........shauri la kesi yako litazungumzwa tarehe 5/11/2010.
 
The beauty of GOD is beyond description

The Following User Says Thank You to Wiselady For This Useful Post:
Asprin (Today)
 
Wapendwa marafiki katika jina la Invizibo.

Kama mtakumbuka mwanachama hai wa MMU kitengo cha ISC ndugu yetu Maskini Jeuri alipata ajali mbaya sana takribani wiki tatu zilizopita.

Ilikuwa ajali mbaya iliyogharimu uhai wa binadamu mmoja, na wengine kujeruhiwa. Tunamshukuru Mungu, mpiganaji mwenzetu yuko salama na anaendelea vema.

Nimetoka kuongea naye hivi punde. Anawasalimu, Anawamisi na Anawashukuru kwa ushauri na pole mlizompa. Amefarijika sana. Ameniomba niwashukuru kwa niaba yake. Shukrani za kipekee kabisa amezituma kwa katibu Roya Roy. Mkuu unashukuriwa kwa msaada mkubwa uliompa. Ulimsaidia sana.

Pia kesi yake mahakamani imeshatolewa hukumu. Amepatikana na hatia katika makosa saba. Amepigwa faini ya Tsh 60,000/= (ambazo ofkozi ameshalipa, vinginevyo angeenda jela miaka mitatu). Pia kapigwa BAN la kuendesha gari kwa miaka mitatu. Ofkozi kuna "gharama" za uendeshaji wa kesi ambazo zilimgarimu kama 2m hivi, lakini maisha yanapaswa kuendelea.

Kwa ujumla, pokeeni salamu, shukrani na ahsante nyingi toka kwa mpiganaji Maskini_Jeuri.

Nawasilisha kwa upendo.

Mtumishi wenu mtiifu.

Asprin
zimefika hizo!....

by the way bado upo baa-mpya?
 
asante kwa taarifa hili, MJ ni mpiganaji hodari...........natumaini hali itakapokuwa njema, tutapata supu pale marangu, maini na mambo flani utumbo na mguu wa mbele a.k.a jembe!

lakini, kurudia sehemu mara nne bila ku-observe rule number 3 ni kosa........shauri la kesi yako litazungumzwa tarehe 5/11/2010.

Na wewe ukufanya masihara ntakushtaki kwa mwenyekiti. Tutakuweka kwenye kundi la waharibifu Kimey na Roya Roy.

Hakika utalia na kusaga meno.
 
Asante kwa updates mkuu....
Hope MJ atarudi katika maisha yake ya kawaida ASAP.....najua itachukua muda kukubaliana na fact kwamba maisha ya mtu yalipotea...ila life goes on......and thats life...sometimes life sucks but we just stay focused....
My prayers with MJ.....
 
zimefika hizo!....

by the way bado upo baa-mpya?

Wewe na wewe kuna hatari nikakuhamishia kwenye kundi la Roya na Kimey.

Kaizer yu njiani aja, hakika usipojirekebisha TUTAKUTENGA.
 
Asante kwa updates mkuu....
Hope MJ atarudi katika maisha yake ya kawaida ASAP.....najua itachukua muda kukubaliana na fact kwamba maisha ya mtu yalipotea...ila life goes on......and thats life...sometimes life sucks but we just stay focused....
My prayers with MJ.....
hehehe!
hivi ni nani wewe mpaka unadiriki kuiba id ya katibu na kupost kwa upole hivi?
 
Asante kwa updates mkuu....
Hope MJ atarudi katika maisha yake ya kawaida ASAP.....najua itachukua muda kukubaliana na fact kwamba maisha ya mtu yalipotea...ila life goes on......and thats life...sometimes life sucks but we just stay focused....
My prayers with MJ.....

Siku unapotokea nyumbani unakuwa na busara sana. Lakini kesi yako iko palepale.

Ubarikiwe St. Roya.
 
Ni furaha kusikia mwenzetu Mungu kamuepusha na simtank/ndoo na tutaendelea kuwa nae na maisha yanaendelea. God is always good.
 
Tumefurahi sana kusikia taarifa za MJ na mambo yameisha. Tunamshukuru mungu kwa hilo.
 
Wewe na wewe kuna hatari nikakuhamishia kwenye kundi la Roya na Kimey.

Kaizer yu njiani aja, hakika usipojirekebisha TUTAKUTENGA.
ha ha ha!
si mpaka niwe natoka rhombo?au hata ukioa rhombo pia unakuwa ''MRHOMBO'' by induction?
 
Na wewe ukufanya masihara ntakushtaki kwa mwenyekiti. Tutakuweka kwenye kundi la waharibifu Kimey na Roya Roy.

Hakika utalia na kusaga meno.

Angalau kwa sasa tuna hakika umeshaondoka bar mpya....
BTW: Nitawasiliana na deus, yule security in charge...
 
Na wewe ukufanya masihara ntakushtaki kwa mwenyekiti. Tutakuweka kwenye kundi la waharibifu Kimey na Roya Roy.

Hakika utalia na kusaga meno.
Ahsante kwa taarifa! Pole sana Maskin Jeuri Mungu yupo maisha yanasonga! Halafu we Asprin hiyo Kimey imefanyaje hapo?
 
Back
Top Bottom