Chalinze segera kwenye paper work.Sijui nipige na dabo rodi au single rodi
Halafu na wewe ukifanya masihara nakuingiza kwenye kundi la Roya na Kimey.
makundi yameanza ndani ya chama? tutaunda tume!
Chalinze segera kwenye paper work.
au fanya simu za kichina.....line zaidi ya moja
mwanzo wa chama kuvunjika,weka plan b
huo sio ubaguzi, ni ukiukwaji wa maadili ya chama. Unaonyesha udhaifu katika uongozi.Watu wengine ni wabaguzi. Wanatenga wenzao. Vyao wanakula wenyewe, vyetu wanalazimisha tuvishee
na hili litatumika kama dondoo la kasha la mashitaka.Sijui nani anamchakachua mjukuu wangu wallah....Babu nabata ushungu balah:A S angry::A S angry::A S angry:
tatizo watu wamechakachua thread ya MJ.Hivi vibatani vya senksi vinaleta mambo kama ya NEC bwana mara vinaonekana mara havionekani
tatizo watu wamechakachua thread ya MJ.
tatizo watu wamechakachua thread ya MJ.
Unakimbilia kuunda CCJ yako
hahahahaaa! ruksa! ila ujue ataniomba ushauri mimi kwanza! so, mimi ndo nimeshikilia uwezekano wa yeyote anayetaka kuhamisha meza.Eti yule wa jana unaruhusiwa kuhamisha meza?:bowl::bowl:
akishakwambia utafanya nini? unataka kupanda kichuguu na big mama pia?umenielewa sasa,kwa hiyo ukishapanda milima na huyo the big mama uniambie