Salamu na Shukrani toka kwa Maskini_Jeuri

hebu eleza, mpenzi ni kivumishi au kishawishi? bab gift ni mpenzi au mpenzi ni baba gift? mbinu ni za kimapenzi au mapenzi ni mbinu?
ha ha ha ha!
naona mkuu unajenga hoja kwa umakini unaogopa asije leta mamb o ya ''NEC''
 
Mama Big simuwezi maana misamiati yake,lugha za picha,n.k sijui kama wadau wake mtakuwa mnamwelewa
tume-subcontract The finest ajaribu kumwelewa kwanza..briefing itakuwa leo jioni kama atafanikiwa kutoka chumba cha kulala wageni.
 
wasiwasi wangu ni kama uko salama maana kwa zile staili zake nahisi umetenguka hasa anapoacha mdomo wazi!

Aisee Mama Big ni hazina kubwa sana sema tu watu wasije wakanipora,nitaanza muda mrefu kuwapa watu BAN kwa sababu yake
 
Hivi Taito ya hii sredi inasemaje kajukuu? Nakuona unachungulia hapa.


There are currently 14 users browsing this thread. (8 members and 6 guests)

Asprin Kimey+ Wiselady Wakuchakachua Kaizer+ The Finest
+ MwanajamiiOne+

We mwenyewe ndo umeichakachua na:A S-heart-2:
 
hebu eleza, mpenzi ni kivumishi au kishawishi? bab gift ni mpenzi au mpenzi ni baba gift? mbinu ni za kimapenzi au mapenzi ni mbinu?

Halafu na wewe ukifanya masihara nakuingiza kwenye kundi la Roya na Kimey.
 
ha ha ha ha!
naona mkuu unajenga hoja kwa umakini unaogopa asije leta mamb o ya ''NEC''
mama big amesema (via mobile) kama kijana The finest atatoka mzima leo, basi atarudi kwenye ID yake ya zamani.
 
Nimekosa nn nimekosa nn cjakosa mie ndio maana namngoja Pope Keizer! ewe Asprin naomba unickie

Wewe CHEZUMWI imekuathiri hata ndugu yako unanitenga.....Habari zimeshafika kwa Pope.
 
Back
Top Bottom