Salamu na Shukrani toka kwa Maskini_Jeuri

Angalau kwa sasa tuna hakika umeshaondoka bar mpya....
BTW: Nitawasiliana na deus, yule security in charge...

Unapotaka kuingilia maslahi ya Deus na washika dau wake, utahamishwa meza.

Ngumi jiwe.
 
Ahsante kwa taarifa! Pole sana Maskin Jeuri Mungu yupo maisha yanasonga! Halafu we Asprin hiyo Kimey imefanyaje hapo?

We unaepost via mobile. Bado uko na Josefina?

Kumekucha mazee:doh::doh::doh:
 
Wajameni UJUMBE KUTOKA KWA DEUS...baunsa wa baa mpya ni kwamba kwa takribani wiki tatu haitaji vijana kutoka sinza,mwenge,mbezi,tabata na temeke
 
Thats where i normally fails to explain!so let the Glory be to Him

Kwa kiswahili hapo lady the wise ungesemaje vile?

wenzio tumehitimu shule ya msingi ujamaa darasa la saba B.
 
Unapotaka kuingilia maslahi ya Deus na washika dau wake, utahamishwa meza.

Ngumi jiwe.

Wajameni UJUMBE KUTOKA KWA DEUS...baunsa wa baa mpya ni kwamba kwa takribani wiki tatu haitaji vijana kutoka sinza,mwenge,mbezi,tabata na temeke

Ya nini malumbano? Kwan wale kuku toka singida wako wangapi....halafu ukichanganya na rule 3...
 
Thanks Asprin for the update na namtakia MJ maisha mapya mema....

BTW, where is my darling dude smile?
 
Wajameni UJUMBE KUTOKA KWA DEUS...baunsa wa baa mpya ni kwamba kwa takribani wiki tatu haitaji vijana kutoka sinza,mwenge,mbezi,tabata na temeke

Nimecheki naye, AMESISITIZA kuwa hatakuwa na masihara. Umesahau na wa Kigamboni!:nono::nono::nono:
 
Ya nini malumbano? Kwan wale kuku toka singida wako wangapi....halafu ukichanganya na rule 3...
mi nadhani dawa ni kwenda tu hivyo hivyo......!ee bana eeh!ile kitu ni hatari mzee....nimeambiwa kuna mdau ameenda singida kuwafuata kuku wengine watamwagwa pale very soon
 
mi nadhani dawa ni kwenda tu hivyo hivyo......!ee bana eeh!ile kitu ni hatari mzee....nimeambiwa kuna mdau ameenda singida kuwafuata kuku wengine watamwagwa pale very soon

Ili mradi wasije na mdondo............:nono::nono::nono::nono:
 
Kesi yako ya kurudia sehemu mara nne lazima katiba ikuadhibu! Ngoja Pope Keizer afike

Hivi hii sentensi kizuri kula na nduguyo....haina limitations?

Kama ni hivyo ntamwomba mwenyekiti tuiangalie upya hii kitu. Kuna vitu vingine hapana bana!
 
Mh mara hii na Mama Big!taratibu lkn maana ana kasi ya ajabu mulize kaizer amemfanya nini

Mama big a.k.a Da Sophy version 2 ni mwanachama hai wa ISC. Katibu cheki kumbukumbu zako vizuri.
 
Back
Top Bottom