Salamu kwa Marioo

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Sep 11, 2010
4,271
2,401
Huyu msanii ni natural sana. Anaimba kama hataki ila akitoa wimbo unashika. Sasa kuna huu mpya kautoa nadhani unaitwa "Bia tamu". Bia tamu kweli.

Sasa nampa changamoto au remix au ajifanyie rendition na aje na "Ndoa tamu". Nakuhakikishia mdogo wangu utakamata hadi ushangae. Ila jambo moja, hili wazo fanya kama nimekuuzia. Ukishapiga hela za kutosha nitafute unitoe kidogo. Fanya hivyo kabla hawajakuwahi wadandiaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom