Salamu kutoka Somali....

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Jan 30, 2008
14,631
4,225
_47328039_hizbalislam_somalia_afp.jpg
 
Put the suffering and all that negative press aside, I think these guys have one rare grievous audacity around. If and only if they happened to be just a little bit organised enough to form a civil society, I believe they would be able to form a mighty force in the region capable of delivering a sucker punch to anyone trying to dare them. Tales from high seas on piracy explains it all.
 
Wale wakurya walio ua wake na watoto zetu inabidi tuwahamishie huku, luks like a perfect place for them..damn it!
 
Wakati nikiwa bado mdogo, kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia kuwa, binadamu ni kiumbe katili kuliko vyote! Alisisitiza kuwa vifaru, mabomu, mizinga na silaha za namna hiyo zimetengenezwa si kwa ajili ya kuua tembo, simba au chui, bali ni kwa ajili ya binadamu wenzie! Sasa naamini!!!
Ee Mola tuepushie mbali hali hii!
 
Mambo yote hayo ni kwa ajili ya kutaka kuwamaliza binadamu wenzao tu?? Mh!
 
1.jpg


A Somali government soldier stands guard near barracks at the Tarbunka frontline in the country's capital, Mogadishu, on Sunday.
 
Da kudadeki na hiyo nyingine ni daladala au?

mwana, huyo jamaa aliyekaa mbele kwenye hiyo daladala sio kama anaogopa ila anamlia timing tu akileta za kujua naye anaibua AK47 yake mambo yanaanza, ukiwa nchi kama hiyo lazima uwe unajua kuwa anytime roho inaacha mwili
 
Back
Top Bottom