Put the suffering and all that negative press aside, I think these guys have one rare grievous audacity around. If and only if they happened to be just a little bit organised enough to form a civil society, I believe they would be able to form a mighty force in the region capable of delivering a sucker punch to anyone trying to dare them. Tales from high seas on piracy explains it all.
Wakati nikiwa bado mdogo, kuna mtu mmoja aliwahi kuniambia kuwa, binadamu ni kiumbe katili kuliko vyote! Alisisitiza kuwa vifaru, mabomu, mizinga na silaha za namna hiyo zimetengenezwa si kwa ajili ya kuua tembo, simba au chui, bali ni kwa ajili ya binadamu wenzie! Sasa naamini!!!
Ee Mola tuepushie mbali hali hii!
mwana, huyo jamaa aliyekaa mbele kwenye hiyo daladala sio kama anaogopa ila anamlia timing tu akileta za kujua naye anaibua AK47 yake mambo yanaanza, ukiwa nchi kama hiyo lazima uwe unajua kuwa anytime roho inaacha mwili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.