Salamu+Habari za Kampeni Biharamlo Magharibi

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,326
5,559
Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho
 
Kimla,
Hatutaki wawe tishio, tunataka wawe washindi. Na hilo linawezekana mkiwapigia kura na kuzilinda mpaka mwisho
 
Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho
.
Kimla, asante kwa update kama hii, nilikuwa huko Bimulo wa uchaguzi mdogo, nilishuhudia jinsi Chadema walivyokuwa juu na nikahakikishiwa watu wa Bimulo ni wenye msimamo, hawawezi kuuza uhuru wao kwa t-shirt na kofia, au kwa shibe ya siku moja. Kura zikapigwa kwa matumaini makubwa, kilichotokea sote tunakijua, hivyo hata ukitupa taarifa za kutia moyo, tusubiri dakika 90 zipite na kipenga cha mwisho kipulizwe.
 
Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho

Heshima kwako Kimla,

Mkuu jaribu kueleza hali halisi kusema mgombea wa CHADEMA yuko juu haitoshi.

Naomba utueleze mgombea wa CHADEMA ni nani,kabla ya kugombea alikuwa anafanya nini.Anawahaidi nini wananchi.
 
Tatizo hamja komaa kisiasa,kameni za CHADEMA wanajaa sana vijana ambao wengiwao ni washangiliaji lakini hawapigi kura,CCM imewashika wazee na wanawake ndiomana inauhakika wa kura.
 
Huyu hajapiga hodi humu!! Rudi kaanzie mlangoni maana utaitwa mwizi bure!!
 
Tatizo hamja komaa kisiasa,kameni za CHADEMA wanajaa sana vijana ambao wengiwao ni washangiliaji lakini hawapigi kura,CCM imewashika wazee na wanawake ndiomana inauhakika wa kura.
ATENGEZEKE, karibu JF, siasa za Bi'mulo ni moja ya maeneo yenye siasa kali kama za Busanda, Wasioijua Biharamulo waacheni pembeni waisikie hivyo hivyo.

Kwa aliyefika Biharamulo ya enzi zile na akifika leo, anaweza kulia au machozi yakamtoka, amini usiamini nilikuwa nina kakazi fulani hapo Biharamulo, lakini nililazimika kulala Chato, wengine wengi walikuwa wanalala Geita, wakati huo unapita kwenda Biharamulo, Geita ilikuwa mapori tuu na hiyo Chato ndio kabisa hata mi... haijatungwa!.

Leo Chato ndio kidume, lami mpaka sebuleni, Bi'mulo ni vumbi mpaka ndani ya glasi, chanzo cha yote hayo ni serikali ya CCM halafu bila aibu eti bado mnaikumbatia!, Watu wa Biharamulo na Busanda ni watu wa ajabu sana!, uchaguzi ukishamalizika ndipo nitasema, lakini kwa sasa nawashauri tuu, hebu fungueni macho na October 31 mseme "Basi imetosha!".
 
Poleni na siasa za Tanzania. Mie niko vijijini biharamulo magharibi nalima mahindi. Huku ki ukweli CHADEMA ni tishio sana labda CCM watumie pesa za ziada kuhonga hasa dakika za mwisho

Na me niko biharamuro tutafuteni ili tusaidiane kampeni katika siku zilizobakia:smile::smile::smile:
 
Back
Top Bottom