Salamaa

Banner

Member
Oct 6, 2011
5
3
Kwakua ni mara yangu ya kwanza kujiunga nanyi,natanguliza salamu kwa wote wanachama naomba ushirikiano wenu katika kuchangia hoja mbali mbali
 
Karibu jukwaani!!!japo umekosea kuingia bila kusalimia wakubwa!!!usirudie tena
 
Umeingia kusiko. ungeanza jukwaa la kujitambulisha. hujachelewa, anzisha thread kule, upokelewe na welcome comitee (kina katavi na aminata, lol)
 
zimba,wa r chuga nimetimba,kazi kama kimba,hapa hakuna kuimba,hapa ni ngumu alafu nyeusi tuu kama lostboy.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom