Salam zangu, na maombi yangu kwenu

ALEXANDERKAPING

New Member
Oct 25, 2011
1
0
HELLO!! JAMII FORUMS ARE YOU ALRIGHT PEOPLE?. Wakuu nimemaliza chuo kikuu bado sijapata kazi, natafuta kazi kwenye makampuni ya simu au makampuni mengine yanayohitaji IT person. kwa makampuni ya simu mimi ni engineer wa telecom. so may you help me guys!!
 
vile vile pita pita kwenye makampuni ambayo waliokutangulia graduate, wapo na wanafanya vizuri acha cv yako pale hata kama hawajatangaza kazi you dont loose manake kazi nyingine hazitangazwi wanaangalia kuna cv ngapi wanaita
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom