Dazzle 2
Senior Member
- Oct 9, 2015
- 125
- 71
Kwanza nianze kwa kukupongeza kwa kazi kubwa inayotumia nguvu maarifa na hekima kubwa uliyoifanya tangu umeingia madarakani. Pongezi hizi zinaendana na kukutakia afya njema na baraka za Mungu ktk kipindi cha mwaka 2017.Kama Mungu wangu aishivyo ulindwe na damu ya Yesu ambaye tunakumbuka kuzaliwa kwake.
Basi Mungu wa amani akubariki kutoka kwako na kuingia kwako tangu sasa na hata milele.
HERI YA MWAKA MPYA MH JPM
Basi Mungu wa amani akubariki kutoka kwako na kuingia kwako tangu sasa na hata milele.
HERI YA MWAKA MPYA MH JPM