Salam kwako be!

Daz denny

JF-Expert Member
Nov 19, 2016
390
378
Be nakumbuka ulivyokuwa unapita maeneo ya nyumban mtoto wa kichaga ulikuwa umefungasha! haikuwa mbali ni 2009 nikakusimamisha mbele ya jiran ambae swahib nikakutongoza ukiwa mbichi ndo kwanza uunamaliza form iv
haukusita kunipa jibu japo ulinizungusha mwez mzm ukanikubalia penz letu likaendelea a level ikafika mama akanipeleka mbaliz mbeya
Kwa kuwa nilikupenda nilikuahid sitakutoa usichana wakompaka nikuoe! haikupita muda nikasikia matokeo yako yakawa mabaya ukaenda kureseat dar!
wajanja wakukuwah hawakuishia hapo wakakupa na ujauzito!
Iliniuma xana niliporud nikakuta mmeama! mtaani
kwa kuwa nilikupenda niliapa lazima nimpate mzr zaid yako mwenye jina kama lako!
Nashukur nimempata ila nasikitika kumpata kwake ilinipasa nimdanganye din!
Nashukur huku sikulegalega nimewah kufungua njia ila naogopa kama yako yasije tokea
Any way naomba mungu ud... wasije nizid kete nafikiria kumpa mimba kimtego ! anyway naamin nitashinda!
Mpe hai alienipokonya japo inaniuma hongera kwa kuwa mama wawil
 
Back
Top Bottom