Salah kukosa World Cup 2018 RUSSIA

33657364_2096762037268103_2848062886369034240_n.jpg

Huyo Ramos kiboko yake Messi,, kwenye el classico manusura avunjwe kiuno *****. Hatomsahau
 
Usijali Kaka. Amiin Insha Allah natumai uzima ataupata.

Sababu kiukweli anaweza fanya kitu kwenye World Cup kwani kwa jinsi jina lake lilivyo kubwa akiwa uwanjani tu tayari ni matumbo joto kwa mabeki wa timu pinzani.

Nina imani soon atakaa sawa.

Kabisa dada yangu...Inshaalah dua zetu kwa pamoja
 
mimi ni sio mshabiki wa liver ila kiufupi salah angewecheza dkk zote katika finali ya uefa..naamini kombe lingeenda anfield,maana jamaa alikua hakamatiki kwenye ile mechi..he was on fire
 
Back
Top Bottom