TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Hongereni Sana kwa mabadiliko mliyofanya kwa mwaka uliopita,

Tunategemea mje na maboresho mengi zaidi hasa kasi ya internet na vifurushi vya internet.

Asanteni Sana na tuko pamoja katika ujenzi wa Taifa letu.
 
Asante kwa kuwa nasi kipindi chote cha nyuma, tunategemea kuwaletea huduma bora zaidi ndani ya mwaka huu #2021.
#RudiNyumbaniKumenogaView attachment 1664956
Sawa Lakini hakuna vifurushi vizuri vya TTCL-TTCL na wakati huohuo mitandao yote na Data.

Naipenda Sana TTCL mtandao wa Baba lakini hamjiongezi kabisa. Mfano Kuna mtandao unanipa Gb1 data, Dakika 15 mitandao yote na Dakika karibu 170 mtandao mmoja kwa 1500/Wiki.
TTCL fanyeni hivyo hivyo kwa 1500 lakini GB2 Dakika 15 mitandao yote na Dakika 💯 TTCL-TTCL.
 
Mashirika mengi ya Serikali yaani huduma mbovu (hovyo).

1.TTCL
2. NHIF
3. TANESCO
4. ATCL
 
Ttcl mna mambo ya ajabu utakuta umetuma pesa kny T-pesa na imekuletea msg kabisa salio limeingi,

unajiunga kifurusi cha ajabu unaambiwa huna salio, ukiwapigia customer care hakuna msaada wowote zaidi ya kuambiwa mpendwa mteja salio lako linaonekana halijafika, hali hii imenitokea kama x 3 hv,

mara ya mwisho mmeniibia elfu 11 kila nikiweka salio naambiwa sina salio, badilikeni japo kuwa tangu hiyo siku nimewahama.
 
NiPM namba yako ya TTCL kwa maaada zaidi.
Pole kwa tatizo lililotokea.
#RudiNyumbaniKumenoga
 
TANGAZO MUHIMU

136693786_391930991871882_1300248091050098108_n.jpg
 
Back
Top Bottom