TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

Ni aibu, narejea tena ni aibu. Ukipiga simu huduma kwa wateja TTCL huwezi amini utaenda bafuni kuoga na kurejea bado unaambiwa subiri kwani simu yako ni muhimu. Hii ni muda wote.
Jaribu TRA, utapokelewa na kama si muda wa kazi utaambiwa.
TTCL mnasindwa wapi?

TRA hawa hawa wanaobambika kodi? Wanaofunga biashara za watu? Wanaonyanyasa walipa kodi ili kujipatia rushwa?

Aaaah Wapi? Si bure mleta mada utakuwa ndiyo TRA umekuja ki design design tu.

Hatudanganyiki!
 
Asante kwa kuwa nasi kipindi chote cha nyuma, tunategemea kuwaletea huduma bora zaidi ndani ya mwaka huu #2021.
#RudiNyumbaniKumenoga
134457891_745066133102153_1575659767832931129_n.jpg
 
Back
Top Bottom