Salaan za Mwaka Mpya 2021 kutoka TTCL

TTCL Customer Care

Verified Member
Mar 27, 2020
180
250
Asante kwa kuwa nasi kipindi chote cha nyuma, tunategemea kuwaletea huduma bora zaidi ndani ya mwaka huu #2021.
#RudiNyumbaniKumenoga
134457891_745066133102153_1575659767832931129_n.jpg
 

Gdd Tech

JF-Expert Member
Nov 1, 2018
468
1,000
Jitahidini kupunguza Muda wa kujiunga vifurushi au kuangalia salio... Wekeni Menyu fupi fupi mfano Kuangalia Salio.. iwe *103*02#
 

Statesman

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
23,340
2,000
Hongereni Sana kwa mabadiliko mliyofanya kwa mwaka uliopita,

Tunategemea mje na maboresho mengi zaidi hasa kasi ya internet na vifurushi vya internet.

Asanteni Sana na tuko pamoja katika ujenzi wa Taifa letu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom