Salaam

Simba wa Tunduru

New Member
Jun 5, 2013
2
1
Asalaam Aleykum waungwana. Nawasalimu kwa lugha, dini na itikadi zenu. Mgeni nimeingia naomba miongozo, order, kuhusu utaratibu na mengineyo. Ila tangu mwanzo nieleweke kuwa napenda vitu vyote duniani isipokuwa CCM. Ahsanteni.
 
maisha yako yatakuwa mafupi sana sijui kama utafikisha miaka mingi sana.
 
Unapenda konokono? mi napenda wakikaanga na vitungu swaum kwa mtindo wa "sauté".
 
Karibu we ni kabila gani?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom