Salaam za Sikukuu

namwakalima

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
458
260
Chama Cha Mapinduzi "CCM" kinawatakia wananchi wote bila ya kujali itikadi zao wala dini zao Kheri na fanaka katika msimu huu sikukuu za Christmas na Mwaka mpya 2017.

Umoja ni Ushindi.
 
N

Ubaguzi ccm ndio waasisi hata salam zenyewe zimejaa ubaguzi
IMG-20161225-WA0054.jpg
 
Chama Cha Mapinduzi "CCM" kinawatakia wananchi wote bila ya kujali itikadi zao wala dini zao Kheri na fanaka katika msimu huu sikukuu za Christmas na Mwaka mpya 2017.

Umoja ni Ushindi.
. . . umeelewa!? A, onyo! B, utakula mkong'oto!, C, hadi usalim amri unyooshe mikono!, D, watu watabaki wakishangilia tu kwa sababu ya ukichwamaji wako!!!.
 
Back
Top Bottom